sio mbaya,Nafikiri mleta mada ,akubaliane na familia yake na machawa ila sio watz wenye kujitambua
Inawezekana kabisa nyie chawa ndio mnamwaribia raisi sifa zake.Hata tukianza mwaka 2030.maana Watanzania ukiwasikiliza vizuri huku mitaani shida yao na kiu yao na mahitaji yao wala siyo habari za katiba.watanzania wanahitaji kuona yake afanyayo Rais Samia yanaendelea.mambo hayo ni kama vile uboreshwaji wa huduma za afya,elimu,usambazaji wa maji safi na salama,ajira kwa vijana, upatikanaji wa pembejeo hususani mbolea kwa wakati kwa wakulima pamoja na bei nzuri kwa mazao yao.
Wanasiasa walioshindwa kuwashawishi wananchi kwa hoja ndio wanahisi katiba itawasaidia kupata madaraka ya ubunge na udiwani.
Watanzania wanahitaji sera nzuri na wezeshi pamoja na uhakika wa kupata milo mitatu mezani pao.
hapana,Kwel kila kitu unakijua mkuu hongera sana mheshimiwa.
Safi sana kiongozi , nimeikubali hiyo .hapana,
sijui na sifahamu kila kitu,
ila angalau nina uelewa kiasi fulani juu ya masuala mbalimbali kwa namna nyingi, kwa sababu nimeishi katika hali hizo nilipokua najitafuata kimaisha....
ila kuna madini mengi sana ya muhimu na ya maana najifunza na kuyaelewa vyema kwa manufaa ya maisha yangu binafsi kiroho na kimwili, kitaaluma, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kitaifa na kimataifa zaidi kutoka kwa familia hii kubwa na pana sana na ninayo iheshimu, kuipenda na kuijali ya JF
hapana,Naunga mkono hoja, tubadilishe tumuongezee miaka mingine , atake asitake tumlazimishe
katiba mpya isiyochukua zaidi ya mwezi kuundwa, hata za kwenye vikoba na makundi mbalimbali ya kijamii huku mitaani, zinasumbua sana,Katiba Mpya inaweza isichukue hata zaidi ya mwezi kupatikana kama kuna dhamira njema!
Kwa kuwa hakuna dhamira njema ya Watawala hata baada ya 2025 hakutawepo na mchakato wa kupata Katiba Mpya!