Paroco
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 2,389
- 10,595
Hakuna aliyethibitisha hilo zaidi ya Lisu mwenyewe hakuna independent source yeyote iliyowahi kuthibitisha hilo zaidi ya Lisu kutamka .Alijibunia kuwa zilikuwa risasi 33 hakuna mtanzania aliyewahi ona ripoti ya daktari kuthibitisha hilo .Ni Lisu ndio huchonga mdomo kusema alipigwa risasi 33.Lakini kwa uzushi huo ndie aliongea na BBC nk kuwa Magufuli anaumwa bila usjahidi wa third party wa ripoti ya daktari nk
Mimi siamini kama Lisu alipigwa risasi sina ushahidi wa third party wa ripoti ya daktari yawezekana alipigwa marungu na mapanga alipofumaniwa na mke wa mtu ndio maana aligoma kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi
Kuchekana ni kwa zamu subiri yakujie wewe tena yatakuja kwa staili ya tofauti kabisa na uzuri wake hautakumbuka.
Usiwahi kufurahia matatizo yanapompata mwingine ikiwa bado unapumua.
Kabla haujafa haujaumbika