Kama Taifa tumefikishwa hapa kwa sababu ya Lissu.

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Watu wengi akiwamo Nyani Ngabu wanashangaa mambo mengi waliyokuwa wanayasema zamani, leo yanaonekana kama mapya!

Nadhani kama taifa tukifanya uchunguzi wa kina tutagundua imekuwaje tumefika hapa tulipo. Kwa mtazamo wangu hali tuliyo nayo leo, inatokana na Tanzania kuwa na mtu anayeitwa Tundu Antipas Lissu.

Ukiachana na harakati zake za kutetea watu mbali mbali kisheria, Lissu alipoingia kwenye siasa, alibadili aina ya siasa zetu kutoka siasa za kinafiki kwenda kwenye siasa za kusimamia kweli kuhusu masuala muhimu ya kitaifa.

Inasemwa kuwa alipogombea ubunge mwaka 2010, aliyekuwa mgombea Urais kupitia CCM wakati huo Jakaya Kikwete,alipofikia kwenye Jimbo la Singida magharibi, aliwaambia wapiga kura wa Jimbo hilo kuwa ni heri wasimchague yeye kuwa Rais kuliko kumchagua Lissu kuwa mbunge.

Kumbe Lissu hakutakiwa kuwa mwanasiasa na wanasiasa wa Tanzania. Alipoingia bungeni akawa ni mwanasiasa msema kweli bila ya kuzunguka.

Sasa Lissu katufikishaje hapa. Lissu kupigwa kwake risasi hakukuwa nje ya misimamo yake kisiasa. Lissu kupingwa kwake asiwe Mwenyekiti wa CHADEMA hakukuwa nje ya mitizamo yake jinsi siasa za CHADEMA zinavyotakiwa kuwa.

Leo Lissu asingekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, CHADEMA isingegomea uchaguzi bila ya marekebisho ya Sheria za uchaguzi na hivyo hata hawa kina Josephat Gwajima na Humphrey Polepole hoja zao zisingekuwa na uzito ilizonazo sasa.

kwa ivo Lissu alianza kujenga aina Mpya ya siasa za nchi hii bila ya wanasiasa wa Tanzania kujua kuwa mfumo wa aina ya siasa zao umeingiliwa na kirusi.

Leo wanasiasa wanapotaka kupambana na Lissu wanakutana na upinzani mkali kwa kuwa aina ya siasa alizoziasisi Lissu ndizo zinazokubalika kwa sasa.

Lissu ni kama taswira ya Dr. Wilbroad Slaa kabla hajakengeuka. Tofauti kati ya Lissu na slaa, ni kwamba Lissu ana muendelezo wakati Slaa alionesha kukata tamaa baada ya Lowassa kukaribishwa CHADEMA mwaka 2015.
 
Moja kwanza tulipofika na tunapoendelea kwenda tunazidi kupotea..., Na moja ya sababu kuu ya kupotea huko ni UCHAWA (ambao hauna Gamba wala Gwanda); Badala ya kuangalia issues kama issues tunatukuza personalities..., kila anachofanya mtu kinaonekana ni kizuri au kutumia muda mwingi kupeana Kudos na Pongezi ambazo hazina mbele wala nyuma...

Na sababu ni kizazi ambacho kimekulia kwenye huu upuuzi usitegemee mambo yatabadilika leo au kesho....; We need to start to think for ourselves as individuals na sio nani anasema au anataka nini
 
Tumefika hapa kwa kosa la kumkata Lowassa 2015
Lowassa asingekwenda CHADEMA Dr. Slaa asingetoka CHADEMA. Slaa kutoka CHADEMA kukatoa njia kwa Lissu kuwa mrithi wake kwenye siasa za CHADEMA.

Fikiria kama Slaa angebaki CHADEMA halafu 2020 angetaka kugombea Urais nani angemzuia?
 
Watu wengi akiwamo Nyani Ngabu wanashangaa mambo mengi waliyokuwa wanayasema zamani, leo yanaonekana kama mapya!

Nadhani kama taifa tukifanya uchunguzi wa kina tutagundua imekuwaje tumefika hapa tulipo. Kwa mtazamo wangu hali tuliyo nayo leo, inatokana na Tanzania kuwa na mtu anayeitwa Tundu Antipas Lissu.

Ukiachana na harakati zake za kutetea watu mbali mbali kisheria, Lissu alipoingia kwenye siasa, alibadili aina ya siasa zetu kutoka siasa za kinafiki kwenda kwenye siasa za kusimamia kweli kuhusu masuala muhimu wa kitaifa.

Inasemwa kuwa alipogombea ubunge mwaka 2010, aliyekuwa mgombea Urais kupitia CCM wakati huo Jakaya Kikwete,alipofikia kwenye Jimbo la Singida magharibi, aliwaambia wapiga kura wa Jimbo hilo kuwa ni heri wasimchague yeye kuwa Rais kuliko kumchagua Lissu kuwa mbunge.

Kumbe Lissu hakutakiwa kuwa mwanasiasa na wanasiasa wa Tanzania. Alipoingia bungeni akawa ni mwanasiasa msema kweli bila ya kuzunguka.

Sasa Lissu katufikishaje hapa. Lissu kupigwa kwake risasi hakukuwa nje ya misimamo yake kisiasa. Lissu kupingwa kwake asiwe Mwenyekiti wa CHADEMA hakukuwa nje ya mitizamo yake jinsi siasa za CHADEMA zinavyotakiwa kuwa.

Leo Lissu asingekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, CHADEMA isingegomea uchaguzi bila ya marekebisho ya Sheria za uchaguzi na hivyo hata hawa kina Josephat Gwajima na Humphrey Polepole hoja zao zisingekuwa na uzito ilizonazo sasa.

kwa ivo Lissu alianza kujenga aina Mpya ya siasa za nchi hii bila ya wanasiasa wa Tanzania kujua kuwa mfumo wa aina ya siasa zao umeingiliwa na kirusi.

Leo wanasiasa wanapotaka kupambana na Lissu wanakutana na upinzani mkali kwa kuwa aina ya siasa alizoziasisi Lissu ndizo zinazokubalika kwa sasa.

Lissu ni kama taswira ya Dr. Wilbroad Slaa kabla hajakengeuka. Tofauti kati ya Lissu na slaa, ni kwamba Lissu ana muendelezo wakati Slaa alionesha kukata tamaa baada ya Lowassa kukaribishwa CHADEMA mwaka 2015.
76d28085-5d1f-49f1-9e95-30ab0af0c37b.jpeg
 
WOTE TUKO NJIAPANDA: Tupande gari gani?

Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele. Tutafakari:

1. Kuna watu usipowasikiliza, ni hasara. Ukiwasikiliza ni hasara pia. Humphrey Polepole ni mmoja wao. Usipomsikiliza unakosa mengi. Ukimsikiliza, anakushawishi kutenguka katika basdhi ya misimamo yako. Chagua kwa hekima.

2. Nani ni bora? Shetani aletaye habari njema au malaika aletaye habari mbaya?
Tuangalie kwa makini vipa umbele vyetu:
-Mungu/Taifa/Chama
Vs
-Chama/Taifa/Mungu

Chagua kwa hekima.

3. Twaweza kumpuuza Humphrey Polepole. Je tutapuuza madhara ya kumpuuza? Chagua kwa busara kati ya kupuuza huku usiweze kupuuza madhara ya upuuzi wako.
Kama anasema uwongo anamdanganya nani? Mungu? Wananchi? Yeye mwenyewe?

4. Kama ni kweli tufanyeje? Kama ni uwongo tufanyeje? Kwa nini aliyoyasema yanafanana na imani na uzoefu wetu? Kwa nini wanaosema aliyoyasema ni uwongo hata wao wanajiona ni waongo?

5. Viapo vyetu viko njiapanda: kukiuka kiapo kwa kusema kweli au kutunza kiapo kwa kuficha ukweli? Tunapoapa twamwapia mwanadamu au Mungu? Tukishupaza shingo (Impunity), twamfanyia Polepole, Katiba, Katiba, wananchi?

6. Hatujui tumefikaje hapa. Tuna uwezo wa kujua tutokeje. Tulinde kura moyoni? Tutiki wakati imeishatikiwa? Tusubiri reform?
Tupige kura kuamua kama tuchague au tusichague?

Unyenyekevu si udhaifu
TURUDI MEZANI
UKWELI ULIOCHELEWA NI BORA KULIKO UWONGO UNAOFARIJI.
HAKUNA TOBA ILIYOCHELEWA
Kalikawe Lwakalinda Bagonza
 
Watu wengi akiwamo Nyani Ngabu wanashangaa mambo mengi waliyokuwa wanayasema zamani, leo yanaonekana kama mapya!

Nadhani kama taifa tukifanya uchunguzi wa kina tutagundua imekuwaje tumefika hapa tulipo. Kwa mtazamo wangu hali tuliyo nayo leo, inatokana na Tanzania kuwa na mtu anayeitwa Tundu Antipas Lissu.

Ukiachana na harakati zake za kutetea watu mbali mbali kisheria, Lissu alipoingia kwenye siasa, alibadili aina ya siasa zetu kutoka siasa za kinafiki kwenda kwenye siasa za kusimamia kweli kuhusu masuala muhimu ya kitaifa.

Inasemwa kuwa alipogombea ubunge mwaka 2010, aliyekuwa mgombea Urais kupitia CCM wakati huo Jakaya Kikwete,alipofikia kwenye Jimbo la Singida magharibi, aliwaambia wapiga kura wa Jimbo hilo kuwa ni heri wasimchague yeye kuwa Rais kuliko kumchagua Lissu kuwa mbunge.

Kumbe Lissu hakutakiwa kuwa mwanasiasa na wanasiasa wa Tanzania. Alipoingia bungeni akawa ni mwanasiasa msema kweli bila ya kuzunguka.

Sasa Lissu katufikishaje hapa. Lissu kupigwa kwake risasi hakukuwa nje ya misimamo yake kisiasa. Lissu kupingwa kwake asiwe Mwenyekiti wa CHADEMA hakukuwa nje ya mitizamo yake jinsi siasa za CHADEMA zinavyotakiwa kuwa.

Leo Lissu asingekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, CHADEMA isingegomea uchaguzi bila ya marekebisho ya Sheria za uchaguzi na hivyo hata hawa kina Josephat Gwajima na Humphrey Polepole hoja zao zisingekuwa na uzito ilizonazo sasa.

kwa ivo Lissu alianza kujenga aina Mpya ya siasa za nchi hii bila ya wanasiasa wa Tanzania kujua kuwa mfumo wa aina ya siasa zao umeingiliwa na kirusi.

Leo wanasiasa wanapotaka kupambana na Lissu wanakutana na upinzani mkali kwa kuwa aina ya siasa alizoziasisi Lissu ndizo zinazokubalika kwa sasa.

Lissu ni kama taswira ya Dr. Wilbroad Slaa kabla hajakengeuka. Tofauti kati ya Lissu na slaa, ni kwamba Lissu ana muendelezo wakati Slaa alionesha kukata tamaa baada ya Lowassa kukaribishwa CHADEMA mwaka 2015.
Bro wapi UPO nikununulia Nyama choma na sharubati ijumaa hii
 
Back
Top Bottom