Kuongeza watekaji hasa tunapoelekea kwenye mbio za uchaguzi 2025.Tumeona leo Gridi ya Taifa ikipata hitilafu na baadhi ya mikoa mingi ikikosa umeme
Swali ni je, TANESCO ina mpango gani kuzuia tatizo kama hilo kutotokea tena maana kwa sasa umeme ni kitu muhimu sana?
Pia,tuliona network ikiwa chini kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mitambo chini ya maji na kupelekea huduma za online hapa nchini kuwa chini na watu kushindwa kufanya miamala na hata biashara'mtandaoni?
Tumeona leo Gridi ya Taifa ikipata hitilafu na baadhi ya mikoa mingi ikikosa umeme
Swali ni je, TANESCO ina mpango gani kuzuia tatizo kama hilo kutotokea tena maana kwa sasa umeme ni kitu muhimu sana?
Pia,tuliona network ikiwa chini kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mitambo chini ya maji na kupelekea huduma za online hapa nchini kuwa chini na watu kushindwa kufanya miamala na hata biashara'mtandaoni?
Halafu jamaa naye asivyo na akili, yuko bize kabisa anaajiandikia hayo.Andika hapo..Km taifa hakuna mpngo wwt zaidi ya cku ziende itakavyokuwa na iweeee ...View attachment 3169029
Dah nasikitika huu uongo ulienezwaga na ukasambaa kweli kweli, imagine mtu asababishe huduma ya umeme isipatikane kisa generator ambalo pengine halifiki hata milioni 50,,kabla hujaamini taarifa unayopewa fanya uchunguzi kwanza mkuuSubiri watu wauze majenereta na mafuta, watarudisha wakipenda. Ni hasara ya taifa Rais kufia madarakani.