Kama Taifa Tunampango gani?

Kama Taifa Tunampango gani?

Burure

Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
42
Reaction score
96
Tumeona leo Gridi ya Taifa ikipata hitilafu na baadhi ya mikoa mingi ikikosa umeme

Swali ni je, TANESCO ina mpango gani kuzuia tatizo kama hilo kutotokea tena maana kwa sasa umeme ni kitu muhimu sana?

Pia,tuliona network ikiwa chini kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mitambo chini ya maji na kupelekea huduma za online hapa nchini kuwa chini na watu kushindwa kufanya miamala na hata biashara'mtandaoni?
 
Andika hapo..Km taifa hakuna mpngo wwt zaidi ya cku ziende itakavyokuwa na iweeee ...
FB_IMG_1731931623196.jpg
 
Tumeona leo Gridi ya Taifa ikipata hitilafu na baadhi ya mikoa mingi ikikosa umeme
Swali ni je, TANESCO ina mpango gani kuzuia tatizo kama hilo kutotokea tena maana kwa sasa umeme ni kitu muhimu sana?

Pia,tuliona network ikiwa chini kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mitambo chini ya maji na kupelekea huduma za online hapa nchini kuwa chini na watu kushindwa kufanya miamala na hata biashara'mtandaoni?
Kuongeza watekaji hasa tunapoelekea kwenye mbio za uchaguzi 2025.
 
Thithiem hawawezi kujibu kwenye vitu vya muhimu kama hivi.
Tumeona leo Gridi ya Taifa ikipata hitilafu na baadhi ya mikoa mingi ikikosa umeme
Swali ni je, TANESCO ina mpango gani kuzuia tatizo kama hilo kutotokea tena maana kwa sasa umeme ni kitu muhimu sana?

Pia,tuliona network ikiwa chini kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mitambo chini ya maji na kupelekea huduma za online hapa nchini kuwa chini na watu kushindwa kufanya miamala na hata biashara'mtandaoni?
 
Katika risk response kuna njia nne unazoweza kufanya:
1. Avoid
2. Escalate
3. Transfer / Share
4. Accept

Nafikiri 4. ndio inatufaa zaidi unakubaliana kuwa ishu ipo twende tu hivyo hivyo🐼
 
Subiri watu wauze majenereta na mafuta, watarudisha wakipenda. Ni hasara ya taifa Rais kufia madarakani.
Dah nasikitika huu uongo ulienezwaga na ukasambaa kweli kweli, imagine mtu asababishe huduma ya umeme isipatikane kisa generator ambalo pengine halifiki hata milioni 50,,kabla hujaamini taarifa unayopewa fanya uchunguzi kwanza mkuu
 
Back
Top Bottom