Burure
Member
- Jul 25, 2024
- 42
- 96
Tumeona leo Gridi ya Taifa ikipata hitilafu na baadhi ya mikoa mingi ikikosa umeme
Swali ni je, TANESCO ina mpango gani kuzuia tatizo kama hilo kutotokea tena maana kwa sasa umeme ni kitu muhimu sana?
Pia,tuliona network ikiwa chini kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mitambo chini ya maji na kupelekea huduma za online hapa nchini kuwa chini na watu kushindwa kufanya miamala na hata biashara'mtandaoni?