Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Hana cha Udini wowote.Shelkhe Ponda ni mdini sn
Safari Njema Mkuu, pole kwa msiba pia.Lazima tukubali kwamba watu wana uhuru wa kutoa maoni. Tufanye mambo ambayo yataonyesha kuwa Dr. Tulia alistahili kuwa rais wa IPU.
Ni kama two sides of the coin. Tunazungumzia coin ile ile lakini
kila mtu anatazama different side of the coin.
Safarini kwenda Shinyanga.
Kuna uwezekano siyo mtz huyuShelkhe Ponda ni mdini sn
Kwanini mkuu?Kuna uwezekano siyo mtz huyu
InawezekanaHana cha Udini wowote.
Anatumika tu Kisiasa, nae ni mganga njaa Kama wachumia tumbo wengine.
Maandamano yanahitaji kibali? Kweli?Kuendesha maandamano bila kibali ni kosa la jinai,haijalishi yameendeshwa na nani,awe Ponda au mtu mwingine yeyote bila kujali dini yoyote,ukiendesha maandamano bila kibali cha polisi unakuwa kinyume na sheria.
Hiyo ni sheria ipo kwenye vifungu vya sheria za JMT.Maandamano yanahitaji kibali? Kweli?
Habari zilipatikana kuwa yule kijana alikufa. Sasa hatujui ni mapenzi ya Mungu yaani kifo cha kawaida au ilionekana hafai kuendelea kuishi mtu aliyemzabua kelbu Rais mstaafu?Unamkumbuka yule kijana aliyezaba kibao rais( mstaafu) Mwinyi?
Yule jamàa alifungwa jela mwaka mmoja. Sheikh Ponda na wadini wenzake walitembeza bakuli kumchangia hela.
Na unajua kwa nini rais Mwinyi alipigwa kofi?
I am sure you are vaguely aware of what hapenned kwa sababu it was in the news in 2009.
Lakini,to be precise,rais Mwinyi alikuwa kwenye jukwaa anaongea katika microphone:,anasema,"Waislamu,tumieni condom. Zinazuia magonjwa." Hilo ndilo lilikuwa tukio,mwanzo mwisho.
Sheikh Ponda na wenzake wakalivalia njuga hili swala,wakasema,"Huyo Mwinyi,he had no business to praise condoms in the mosque".
Kwa hiyo mimi nabisha when you question the credentials of Sheikh Ponda.
Halafu yule kijana tumempiga sinu,yule kijana hata sijui kama bado yiko hai,tumempiga simu Ile,siku hizi tunalalamika,ushoga,ukahaba,.
A nice guy. We were not worthy of him.
Habari Ile ikazikwa,because the country was not ready for it
Allahu akbarUnamkumbuka yule kijana aliyezaba kibao rais( mstaafu) Mwinyi?

Ndio una uhuru ila huna uhuru wa kuhatalisha usalama wa nchi in the name of freedomLazima tukubali kwamba watu wana uhuru wa kutoa maoni. Tufanye mambo ambayo yataonyesha kuwa Dr. Tulia alistahili kuwa rais wa IPU.
Ni kama two sides of the coin. Tunazungumzia coin ile ile lakini
kila mtu anatazama different side of the coin.
Safarini kwenda Shinyanga.
Tatizo kubwa linaanzia katika mitizamo ya kidini juu ya mgogoro kati ya Israeli na kundi la HAMAS. Wakrito wengi wana "side" na Israeli bila kujali madhara ya vita inayoendelea. Na wanafanya hivyo kwa kunukuu maandiko yaliyopo ndani ya kitabu chao kitakatifu cha Biblia.Lazima tukubali kwamba watu wana uhuru wa kutoa maoni. Tufanye mambo ambayo yataonyesha kuwa Dr. Tulia alistahili kuwa rais wa IPU.
Ni kama two sides of the coin. Tunazungumzia coin ile ile lakini
kila mtu anatazama different side of the coin.
Safarini kwenda Shinyanga.
Hili ndio msingi wa kukua kwa hili tatizo.Kila mtu anavutia upande wa dini yake.Ila uku afrika tumezidisha utumwa zaidi.Tatizo kubwa linaanzia katika mitizamo ya kidini juu ya mgogoro kati ya Israeli na kundi la HAMAS. Wakrito wengi wana "side" na Israeli bila kujali madhara ya vita inayoendelea. Na wanafanya hivyo kwa kunukuu maandiko yaliyopo ndani ya kitabu chao kitakatifu cha Biblia.
Waislamu kwa upande wao siku zote wana "side" na Wapalestina bila ya kujali uchokozi wa kundi la HAMAS ambao ndiyo hasa ni chanzo cha mgogoro huu. Hufanya hivyo kwa kupitia nukuu mbalimbali kutoka katika kitabu chao kitakatifu cha Quran.
Hizi ni dini mbili kubwa hapa nchini zenye wafuasi wengi sana. Kwa hiyo basi hata utokeapo uhalifu wowote ule, huruma itaelekezwa kwa yule ambaye anaonekana ni ndugu wa kidini, pasipo kujali uzito wa uhalifu.
Ni kweli kuna shina moja ambalo limeleta dini hizi. Ibrahimu alimzaa Ismail na Isack, ambao kupitia kwao ndipo baadaye zikatokea dini hizi pamoja na ile ya asili ya Kiyahudi iliyokuwepo kabla yao. Waislamu huona kuwa Waarabu ni ndugu zao wa asili wa kidini kwa kuwa Muhammad alikuwa ni Muarabu pia.
Wakristo huona kuwa Wayahudi ni ndugu zao wa asili wa kidini, kwa kuwa Kristo aliishi Israeli na pia alikuwa ni Myahudi. Kwa mitazamo hiyo ya kidini huwezi kupata maamuzi huru juu ya mgogoro huu hata kwa viongozi wetu wa kitaifa kwa kuwa nao pia ni waumini kutoka katika dini hizi mbili hivyo hujikuta waki "side" na yule anayemgusa zaidi kidini.
Kwa hiyo na status ya Mbowe kuwa gaidi nayo ibaki pale pale?Shekhe ponda gaidi! Status ya ugaidi ubaki palepale hata kama uliachiwa!