Kama Tanzania inataka kuwa neutral katika Gaza Crisis haina maana Sheikh Ponda anapaswa kupelekwa Mahakani

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Lazima tukubali kwamba watu wana uhuru wa kutoa maoni. Tufanye mambo ambayo yataonyesha kuwa Dr. Tulia alistahili kuwa rais wa IPU.

Ni kama two sides of the coin. Tunazungumzia coin ile ile lakini

kila mtu anatazama different side of the coin.

Safarini kwenda Shinyanga.
 
Kuendesha maandamano bila kibali ni kosa la jinai,haijalishi yameendeshwa na nani,awe Ponda au mtu mwingine yeyote bila kujali dini yoyote,ukiendesha maandamano bila kibali cha polisi unakuwa kinyume na sheria.
 
Safari Njema Mkuu, pole kwa msiba pia.

Fika salama na Mungu awasimamie.
 
Unamkumbuka yule kijana aliyezaba kibao rais( mstaafu) Mwinyi?
Yule jamàa alifungwa jela mwaka mmoja. Sheikh Ponda na wadini wenzake walitembeza bakuli kumchangia hela.
Na unajua kwa nini rais Mwinyi alipigwa kofi?
I am sure you are vaguely aware of what hapenned kwa sababu it was in the news in 2009.
Lakini,to be precise,rais Mwinyi alikuwa kwenye jukwaa anaongea katika microphone:,anasema,"Waislamu,tumieni condom. Zinazuia magonjwa." Hilo ndilo lilikuwa tukio,mwanzo mwisho.
Sheikh Ponda na wenzake wakalivalia njuga hili swala,wakasema,"Huyo Mwinyi,he had no business to praise condoms in the mosque".
Kwa hiyo mimi nabisha when you question the credentials of Sheikh Ponda.
Halafu yule kijana tumempiga sinu,yule kijana hata sijui kama bado yiko hai,tumempiga simu Ile,siku hizi tunalalamika,ushoga,ukahaba,.
A nice guy. We were not worthy of him.
Habari Ile ikazikwa,because the country was not ready for it
 
Kuendesha maandamano bila kibali ni kosa la jinai,haijalishi yameendeshwa na nani,awe Ponda au mtu mwingine yeyote bila kujali dini yoyote,ukiendesha maandamano bila kibali cha polisi unakuwa kinyume na sheria.
Maandamano yanahitaji kibali? Kweli?
 
Unamkumbuka yule kijana aliyezaba kibao rais( mstaafu) Mwinyi?
Yule jamàa alifungwa jela mwaka mmoja. Sheikh Ponda na wadini wenzake walitembeza bakuli kumchangia hela.
Na unajua kwa nini rais Mwinyi alipigwa kofi?
I am sure you are vaguely aware of what hapenned kwa sababu it was in the news in 2009.
Lakini,to be precise,rais Mwinyi alikuwa kwenye jukwaa anaongea katika microphone:,anasema,"Waislamu,tumieni condom. Zinazuia magonjwa." Hilo ndilo lilikuwa tukio,mwanzo mwisho.
Sheikh Ponda na wenzake wakalivalia njuga hili swala,wakasema,"Huyo Mwinyi,he had no business to praise condoms in the mosque".
Kwa hiyo mimi nabisha when you question the credentials of Sheikh Ponda.
Halafu yule kijana tumempiga sinu,yule kijana hata sijui kama bado yiko hai,tumempiga simu Ile,siku hizi tunalalamika,ushoga,ukahaba,.
A nice guy. We were not worthy of him.
Habari Ile ikazikwa,because the country was not ready for it
Habari zilipatikana kuwa yule kijana alikufa. Sasa hatujui ni mapenzi ya Mungu yaani kifo cha kawaida au ilionekana hafai kuendelea kuishi mtu aliyemzabua kelbu Rais mstaafu?
 
Unamkumbuka yule kijana aliyezaba kibao rais( mstaafu) Mwinyi?
Yule jamàa alifungwa jela mwaka mmoja. Sheikh Ponda na wadini wenzake walitembeza bakuli kumchangia hela.
Na unajua kwa nini rais Mwinyi alipigwa kofi?
I am sure you are vaguely aware of what hapenned kwa sababu it was in the news in 2009.
Lakini,to be precise,rais Mwinyi alikuwa kwenye jukwaa anaongea katika microphone:,anasema,"Waislamu,tumieni condom. Zinazuia magonjwa." Hilo ndilo lilikuwa tukio,mwanzo mwisho.
Sheikh Ponda na wenzake wakalivalia njuga hili swala,wakasema,"Huyo Mwinyi,he had no business to praise condoms in the mosque".
Kwa hiyo mimi nabisha when you question the credentials of Sheikh Ponda.
Halafu yule kijana tumempiga sinu,yule kijana hata sijui kama bado yiko hai,tumempiga simu Ile,siku hizi tunalalamika,ushoga,ukahaba,.
A nice guy. We were not worthy of him.
Habari Ile ikazikwa,because the country was not ready for it
Allahu akbar
 
Lazima tukubali kwamba watu wana uhuru wa kutoa maoni. Tufanye mambo ambayo yataonyesha kuwa Dr. Tulia alistahili kuwa rais wa IPU.

Ni kama two sides of the coin. Tunazungumzia coin ile ile lakini

kila mtu anatazama different side of the coin.

Safarini kwenda Shinyanga.
Ndio una uhuru ila huna uhuru wa kuhatalisha usalama wa nchi in the name of freedom

hili jambo la Palestine-Israel ukilibeba kiimani Lina leta chuki kubwa na mpasuko ndani ya jamii

jiulize vipi na wagaratia nao watake kufanya maandamano wakiwa na mabango Yao makuubwa I STAND WITH ISRAEL KILL ALL TERRORISTS wafia dini wa upande wa pili watafurahi? kama tulikua neutral kwenye RUSSIA-UKRAINE na hakuna maandamano yoyote WHY palestine? who are they? what so special about them?

kumbuka Kuna vijana wetu wawili wa Tanzania wenzetu blood of our own hatujui Hali zao harafu mpumbavu mmoja alie soma dini ikatafuna uwezo wake wa
1) reasoning
2) analysis
3) evaluate
aje atu alibie Amani na utulivu hii haikubari nchi yetu haina dini haiongozwi kwa misingi ya dini yoyote
hatutaki dini moja ijione ni bora kuliko nyingine
kama anaona ndugu zake wanaonewa why don't he just go to palestine akae Frontline akapigane na Israel kuliko kutupigia kelele mitaani kwetu

#HAMAS FREE OUR KIDS
 
Lazima tukubali kwamba watu wana uhuru wa kutoa maoni. Tufanye mambo ambayo yataonyesha kuwa Dr. Tulia alistahili kuwa rais wa IPU.

Ni kama two sides of the coin. Tunazungumzia coin ile ile lakini

kila mtu anatazama different side of the coin.

Safarini kwenda Shinyanga.
Tatizo kubwa linaanzia katika mitizamo ya kidini juu ya mgogoro kati ya Israeli na kundi la HAMAS. Wakrito wengi wana "side" na Israeli bila kujali madhara ya vita inayoendelea. Na wanafanya hivyo kwa kunukuu maandiko yaliyopo ndani ya kitabu chao kitakatifu cha Biblia.

Waislamu kwa upande wao siku zote wana "side" na Wapalestina bila ya kujali uchokozi wa kundi la HAMAS ambao ndiyo hasa ni chanzo cha mgogoro huu. Hufanya hivyo kwa kupitia nukuu mbalimbali kutoka katika kitabu chao kitakatifu cha Quran.

Hizi ni dini mbili kubwa hapa nchini zenye wafuasi wengi sana. Kwa hiyo basi hata utokeapo uhalifu wowote ule, huruma itaelekezwa kwa yule ambaye anaonekana ni ndugu wa kidini, pasipo kujali uzito wa uhalifu.

Ni kweli kuna shina moja ambalo limeleta dini hizi. Ibrahimu alimzaa Ismail na Isack, ambao kupitia kwao ndipo baadaye zikatokea dini hizi pamoja na ile ya asili ya Kiyahudi iliyokuwepo kabla yao. Waislamu huona kuwa Waarabu ni ndugu zao wa asili wa kidini kwa kuwa Muhammad alikuwa ni Muarabu pia.

Wakristo huona kuwa Wayahudi ni ndugu zao wa asili wa kidini, kwa kuwa Kristo aliishi Israeli na pia alikuwa ni Myahudi. Kwa mitazamo hiyo ya kidini huwezi kupata maamuzi huru juu ya mgogoro huu hata kwa viongozi wetu wa kitaifa kwa kuwa nao pia ni waumini kutoka katika dini hizi mbili hivyo hujikuta waki "side" na yule anayemgusa zaidi kidini.
 
Hili ndio msingi wa kukua kwa hili tatizo.Kila mtu anavutia upande wa dini yake.Ila uku afrika tumezidisha utumwa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shekhe ponda gaidi! Status ya ugaidi ubaki palepale hata kama uliachiwa!
Kwa hiyo na status ya Mbowe kuwa gaidi nayo ibaki pale pale?
Sifa za ugaidi na udikteta asilimia kubwa ni za kubandikwa tu kulingana na adui yako anataka kukuvuruga kiasi gani
 
Back
Top Bottom