Kama Tanzania ingeshindwa vita ya Kagera: Je, Rwanda na Uganda zingefika hapa zilipofika leo?

Siasa za ukanda wa maziwa makuu ni siasa ngumu na zisizo tarajiwa hasa kwenye lengo kuu.

Na zimejaa usaliti,tamaa,maslahi,ukabila na agenda za Siri nyingi sana.
 
Upo sahihi kabisa.

Kwa Sasa Rwanda inatumia kisingizio cha kuwepo kwa waasi wa FDLR huko Drc (japo kweli wapo) Ili kuivuruga hiyo nchi.

..wakati Amini anatuvamia Tanzania ilishasitisha misaada kwa wapinzani wa serikali ya Uganda.

..Tanzania na Uganda zilikuwa zimesaini makubaliano ya amani yaliyosimamiwa na Raisi wa Somalia , Siad Barre.

..makubaliano ya amani baina ya Tanzania na Uganda yaliitwa Mogadishu Accord na Tanzania haikuwahi kutuhumiwa kuyakiuka.

..Iddi Amin alipotuvamia hakuwa akidai amechokozwa bali alikuwa akidai eneo la Kagera ni mali ya Uganda.

NB:

..kasomeni kitabu cha Museveni hata yeye anakiri kwamba misaada ya kijeshi ilikuwa imesitishwa na walikuwa hawana mpango wowote wa kumkabili Iddi Amin.
 
Hii taarifa yako sio ya kweli kuna kitu,hakipo sawa. Fuatilia vizuri hata hivi vitabu ulivo soma yaweza kuwa ulilishwa matango pori
 
Wafuga ng'ombe mnajitutumua sana yani wale washamba sisi ndio tuwaogope, eet hima empire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…