Kama TBC mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote za Kombe la Dunia mngewaachia wanaoweza!

Kama TBC mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote za Kombe la Dunia mngewaachia wanaoweza!

Hii sio nchi ya michezo kwa hiyo hata hiyo world cup Haina maana yoyote
 
nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya england na iran !nakuta wanaonyesha sijui vinini! yaani mnachosha kwakweli,tbc ina chanel ngapi kwani? kama mlijua hamuwez kuonyesha mechi zote mngeacha tu azam wapige kazi
Mimi nilikimbia mbio, kufika nakuta wanapiga nyimbo za taarab!! TBC ni bure kabisa.

Mbwembwe nyingi!! Na wakati wanatakiwa kuonesha zile mechi za hisani pekee.
 
Dah roho zipo tofaut Sana kuangalia tibithiii yataka moyo
 
Yan nimekereka sana hata mimi mpaka nikawaza ivi hakuna channel nyingine kwanini lakin hawakupewa azam hii kazi? Inakera na inaboa sana ndo maana soka la bongo ni utumbo mtupu

Fifa wanatoa haki kwa kila television ya taifa ambalo ni mwanachama kurusha matangazo bure. Pasi na shaka utapewa mechi chache na zisizo na mvuto kivile
 
nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya england na iran !nakuta wanaonyesha sijui vinini! yaani mnachosha kwakweli,tbc ina chanel ngapi kwani? kama mlijua hamuwez kuonyesha mechi zote mngeacha tu azam wapige kazi
Rights za kuonesha haya mashindano hazipatikani hovyo sheikh.
 
Sikumbuki ni mwaka gani nilitazama TBC, huenda tokea wakati huo ikiitwa TVT...
 
Wamechaguliwa na nani? FIFA wanatoa haki za kurusha hii michezo yote moja kwa moja bure kwa vyombo vya habari vya taifa kama TBC bure nchi wanachama zote.

Huyu anayewachagulia TBC cha kurusha anawanyiwa burudani watu wasio na uwezo wa kulipia vyombo binafsi vinavyorusha hii michuano. Kheri wasingerusha hata hivyo vimechi tuchache.
Kuprove unachoongea muda ambao TBC haoneshi mechi kaangalie TV za taifa za RWANDA, KENYA, UGANDA kisha uone kama nazo zinaonesha.
 
Wamechaguliwa na nani? FIFA wanatoa haki za kurusha hii michezo yote moja kwa moja bure kwa vyombo vya habari vya taifa kama TBC bure nchi wanachama zote.

Huyu anayewachagulia TBC cha kurusha anawanyiwa burudani watu wasio na uwezo wa kulipia vyombo binafsi vinavyorusha hii michuano. Kheri wasingerusha hata hivyo vimechi tuchache.
Mkuu si kweli,Tv stations za Taifa wanapewa mechi kadhaa tu za kuonyesha na siyo zote.Wenye haki ya kuonyesha mechi zote kwa hapa kwetu ni Dstv tu.
 
Hakuna vya Bure,
Kombe la Dunia Lina mechi 68,
TBC wataonyesha 28.
Nunueni vifurushi
 
Nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya England na Iran Nakuta wanaonyesha sijui vinini! yaani mnachosha kwakweli, TBC ina chanel ngapi kwani? Kama mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote mngeacha tu Azam wapige kazi
Acha utoto si ununue dish la dstv bei nafuu halafu unakuja kulia lia hapa!

Kwanza mechi kaangalie bar na wenzio
 
Nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya England na Iran Nakuta wanaonyesha sijui vinini! yaani mnachosha kwakweli, TBC ina chanel ngapi kwani? Kama mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote mngeacha tu Azam wapige kazi
Timu ya mpira ya Irani wanavaa Jezi au kanzu na barghashia uwanjani?
 
Back
Top Bottom