Kama TBC mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote za Kombe la Dunia mngewaachia wanaoweza!

Leo TBC wameboronga hii sio HD

Mechi ya Senegal v Netherlands inaonyeshwa ila daah ovyoooooo inaonekana vibaya
 
Nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya England na Iran Nakuta wanaonyesha sijui vinini! yaani mnachosha kwakweli, TBC ina chanel ngapi kwani? Kama mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote mngeacha tu Azam wapige kazi

Usilolijua ni Kama Giza nene. Unaonyesha upumbavu wako, you don’t know what it involves to televise live wc matches.
 
Nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya England na Iran Nakuta wanaonyesha sijui vinini! yaani mnachosha kwakweli, TBC ina chanel ngapi kwani? Kama mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote mngeacha tu Azam wapige kazi

Hivi unaposema wangewaachia azam, unaelewa na kufahamu kwamba dstv peke ndiye mwenye hakimiliki ya kuonyesha mechi zote 64?
Azam angeweza kuonyesha kwa kupewa idhini na dstv ambaye kimsingi ni mshindani wake!
Ni kama mnalaumu tbc kwamba wao ndio waliozuia azam kutoonesha hizo mechi, while kilichombeba tbc ni kwa kuwa ni chombo huru cha Taifa ambao kimsingi Fifa imewaruhusu kurusha hizo mechi!
Tbc anapaswa kuwajibika kwa kuwadanganya ama kuwahadaa wananchi kwamba wangeonesha mechi zote.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Tbc anapaswa kuwajibika kwa kuwadanganya ama kuwahadaa wananchi kwamba wangeonesha mechi zote.
TBC quality mbooooovu, Jana tu ndio walikua na quality nzuri danganya toto leo quality mboooovu wachezaji wanagandaganda tu uwanjani km kuna ukungu ukungu
 
Nimetoka mbio mbio niangalie mechi ya England na Iran Nakuta wanaonyesha sijui vinini! yaani mnachosha kwakweli, TBC ina chanel ngapi kwani? Kama mlijua hamuwezi kuonyesha mechi zote mngeacha tu Azam wapige kazi
Wataonyesha mechi 28 tu mkuu
 
Nunueni tu receiver ya fta mbona machannel yanayoonyesha hizo mechi kutokea nje yapo mengi tu
 
Hivi unaposema wangewaachia azam, unaelewa na kufahamu kwamba dstv peke ndiye mwenye hakimiliki ya kuonyesha mechi zote 64?
Azam angeweza kuonyesha kwa kupewa idhini na dstv ambaye kimsingi ni mshindani wake!
Ni kama mnalaumu tbc kwamba wao ndio waliozuia azam kutoonesha hizo mechi, while kilichombeba tbc ni kwa kuwa ni chombo huru cha Taifa ambao kimsingi Fifa imewaruhusu kurusha hizo mechi!
Tbc anapaswa kuwajibika kwa kuwadanganya ama kuwahadaa wananchi kwamba wangeonesha mechi zote.
Hizi hapo mechi watakazoonyesha TBC zenye FTA
IMG-20221121-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom