Kama tetesi hizi ni kweli viongozi Simba mtaharibu!

Tatizo la Simba laanza kwa viongozi, mashabiki
 
Acha inyeshe....

Tumekubali kubaki na wachezaji wazee acha itugharimu.

Alafu huyu Mangungu anahitaji Bakora siku si nyingi.
 
Hapo mtu wa Kwanza kutimuliwa inabidi awe mohamed ndiye chanzo Cha haya yote.
 
Wakati kibonge amepewa team, simba ilikuwa ktk kiwango kizuri, huyu mbrazil hata tembea yake tu inatia mashaka.
 
Tatizo kubwa la simba ni umri mkubwa wa wachezaji, Ntibazonkiza Bocco, Kapombe, Majura, Mkudee...
 
Tatizo la simba ni viongozi na sio coach. Hapa naanza kumwelewa babu Zoran Maki . kwamba wachezaji hawana viwango.
 
İtakuwa na mnafunza kichwani mzee, sio bure
 
Makolo yanaruka na kukanyagana yanaruka kinyama×2🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…