KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
😅😅😅😅😅Haki yako mkuuOyaaa[emoji16][emoji16] nimecheeeka kinyamaaaa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅😅😅Haki yako mkuuOyaaa[emoji16][emoji16] nimecheeeka kinyamaaaa!!
Viongozi watakuwa wapumbavu kama waliamini kuwa na kocha mzungu kutaibadili timu ghafla.Wakuu,
Matokeo ya weekend yametuvuruga Simba kuanzia mashabiki, wachezaji, makocha hadi viongozi! Ni kama hakuna anayejua tumekosea wapi.
Kuna tetesi mitandaoni kuwa kocha Robertinho amepewa game tatu kuamua hatma yake, Azam, Vipers in and out. Huu ni uganga wa kienyeji sio hesabu za mpira.
Unapompa kocha mechi tatu, wachezaji wana sehemu gani? Kama kwa unprofessional reasons wachezaji wakiamua kumhujumu kocha? Kwa kipimo kipi kuona huyu kocha mpya ni kocha wa ovyo?
Tunategemea management mlifanya tathimini ya kutosha na kuona huyu atafaa kutengeneza Simba itayotisha misimu kadhaa, Sasa imani yenu imefia wapi ghafla?
Simba main victims wa matokeo mabaya daima ni kocha na hii imejikita hadi kwa mashabiki! Tumeishia kuwa na lundo la makocha hadi aibu! Mnafikiri tatizo ni hao makocha au kichaka cha kuficha udhaifu wa viongozi?
Tusisahau hawa viongozi wamevurunda usajili bora hata Singida Big stars! Wachezaji wote waliosajiliwa wamevurunda! narudia wote kasoro Phiri! Ntibatokiza na Baleke ni dirisha dogo na hapo huyo Baleke hata Mazembe hawamtaki wanamtoa kwa Mkopo tu! Wamemleta Sewadogo hajacheza msimu mzima!
Huyu kocha akirudi leo Vipers alafu tukutane nae Feb 25 hatumuwezi ndio mjue hawa makocha wanaonewa tu. Hata hii Yanga iliyoimarika ni kumvumilia Nabi! Mashabiki wa Yanga walishaona Nabi hawezi hizi game lakini ilikuwa mihemko tu!
Viongozi njooni na mkakati mpya wa scouting ambao tutanunua wachezaji wa maana, lakini pia ili kuepusha hujuma badala ya kumpa kocha mkuu mechi 3 toeni game tatu kwa benchi lote la ufundi na pia wachezaji wakatwe maslahi yao tukitolewa ili uwajibikaji uwe timu nzima sio kuonea kocha mkuu tu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hakika wewe ni shabiki wa Simba na wote wenye mawazo kama yako.....ila waliosalia wote ni*MAMBUMBUMBU*Wakuu,

Umeongea point mkuu wangu Sina neno imetosha ujumbe wakoWakuu,

Siyo swala la yanga yangu kuchukuwa ubingwa wowote kijana ameleta mawazo yake yenye tija kwa litimu lenuHivi hyo Yanga imechukua ubingwa au?
Dereava atafikishwa mahakamani na atapatikna na hatiaHebu Simba mje na ufafanuzi wa kuhusu hilo bus maana tumeshachoshwa na hizi mbamba za uongo na kizushi...kama vile ni mara ya kwanza gari kurudi kinyume nyume...
Alfu mkaenda kuweka kambi Dubai na kuwaita Al hilal kwa garama zenu sawa kbsa na pesa za kumsajili huyo manzokiViongozi wangu wa Simba waache ujinga ,wakubal wanatuchezea kwenye usajir ,huwez mbebesha lawama kocha kwa michezaji garasa Kama Ile .
Itafika muda hata sisi mashabiki tutawapa michezo kadhaa nyie viongozi mkishindwa Hilo mtaondoka hata kwa maandamano hapo clubuni..
Na kinachofuata saiz hakuna kuja uwanjan Hadi muache kusajili wachezaji wa mafungu.
Ni heri muwe mnasajil wachezaj hata watatu tu Ila wa maana kuliko huo ugoro wenu.
Mkimtimua kocha tambueni hamtakua mtatua tatizo ,tatizo ni kusajil na sio njaa njaa.
Nilianza kuwadharau viongozi wa Simba baada ya kushindwa kumnasa manzok kw amilion 400 ajab et Simba ni timu kubwa ,pumbavu zenu.
Endeleen kujaza takataka za million 50,60,70 alafu et tuna malengo ya nusu fainal .
Nawambia viongozi wote wa Simba soon mraanza kuchezea mayai viza popote mkipita
Maki alikuwa na maono ya mbali, tatizo viongozi walikuwa wanataka mafanikio leo.Tatizo la simba ni viongozi na sio coach. Hapa naanza kumwelewa babu Zoran Maki . kwamba wachezaji hawana viwango.
Umsamehe tu bure! Bado hajapata unafuu wa kiafya. Maana ile juzi wakati timu yake inapigwa goli 3 kwa 0, kuna wakati alipoteza network, na hivyo kujikuta muda wote anaandika
Raja Casablanca 6 Yanga 0!!
Raja Casablanca 6 Yanga 0!! [emoji2]
Hatoi pesa na hili ni tatizo. Tumemkosa Manzoki kwa ubahili tuka risk aje dirisha dogo ili tukwepe kutoa mzigo. Adebayo tukashindwa kufika bei! Aziz K alikuwa kwenye rada ubahili wetu Yanga wakaingilia deal tukasusa kwa kujiona wakubwa!
Nani alimleta Mzungu? Okwa na Akpan hata Ihefu hawapangwi? Unaleta mtu ambaye kama Okwa ambaye hamfikii hata robo kijana wetu Ndemla si kichaa hiki!
Hawa friends of Simba kama wameshindwa kumfanya huyo tajiri atoe fungu la usajili nao waiache timu irudi kwa wanachama tujipange upya.