Kama tetesi hizi ni kweli viongozi Simba mtaharibu!

Viongozi watakuwa wapumbavu kama waliamini kuwa na kocha mzungu kutaibadili timu ghafla.

Kuna mashabiki wapumbavu pia waliamini hivyo.

Sisi tulioona mbele tulijua wakishaleta tu mzungu,lazima timu ishuke chini sana.Hapa ni mwanzo tu.Subiri tutakavyopigwa na yanga goli nyingi kama mvua.

Busara ingekuwa wamwachie Mgunda timu hadi hapo tukishindwa makundi na kwamba ubingwa tumeukosa ndipo mngeleta mzungu ili atengeneze kikosi kwa ajili ya miaka miwili baadae na sio Leo wala mwakani.

Kifupi viongozi na mashabiki wapumbavu ndio wanaotarajia matokeo kwa sasa chini ya Robertinho
 
Hakika wewe ni shabiki wa Simba na wote wenye mawazo kama yako.....ila waliosalia wote ni*MAMBUMBUMBU*
 
Umeongea point mkuu wangu Sina neno imetosha ujumbe wako

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Alfu mkaenda kuweka kambi Dubai na kuwaita Al hilal kwa garama zenu sawa kbsa na pesa za kumsajili huyo manzoki

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la simba ni viongozi na sio coach. Hapa naanza kumwelewa babu Zoran Maki . kwamba wachezaji hawana viwango.
Maki alikuwa na maono ya mbali, tatizo viongozi walikuwa wanataka mafanikio leo.

Kama Maki angekuwepo hawa kina Onyango , Boko,na wazee wenzao tungeshawasahau pale Simba.

Sasa kwa kuwa tumekubali kubaki na hawa Veteran , sawa maumivu hayataisha.
 
Khaaaaa
Umsamehe tu bure! Bado hajapata unafuu wa kiafya. Maana ile juzi wakati timu yake inapigwa goli 3 kwa 0, kuna wakati alipoteza network, na hivyo kujikuta muda wote anaandika
Raja Casablanca 6 Yanga 0!!
Raja Casablanca 6 Yanga 0!! [emoji2]
 

Umesema kweli. Usajili wetu ni Kama wa kubahatusha. Inabidi tuwe na scouting ya maana. Siyo kuokoteza wachezaji ilimradi tu umesajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…