Kama TIN number Yako inadaiwa inaweza kukuzuia kurenew Leseni ya Udereva?

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Wakuu habari.
TIN number Yangu inadaiwa 2m deni la biashara na chombo Cha moto.

Sasa Leseni Yangu inaenda kuexpire mwezi ujao tarehe Moja.

Swàli langu je madeni Yangu yanaweza kuwa kikwazo Cha mimi kushindwa kurenew Lesen.

Je Tax clearence certificate inahitajika??

Naomba muongozo
Ahsante
 
MKuu nashukuru sana
Mungu akupe roho hiyo hiyo
Hakika una roho ya kipekeee
Sikuamini kama unaweza kunipa ushauri mzuri hivi.

By the way mkuu Mimi Nina leseni class A² na D Ina miaka minne.

Sasa nataka kurenew ili nipate class E niweze kuomba kazi ajira portal

Niingie kwenye mfumo kama dereva baadae nifanye recategorization mana Nina shahada ya Maendeleo ya jamii na bado sija upload vyeti vya chuo kwenye mfumo wa ajira portal

Mkuu japo hakuna mtu mwenyeji duniani ila mawazo Yangu ni mazuri???
Unachodaiwa ni kodi, sio ruhusa yako ya kuendesha chombo cha moto.
 
MKuu nashukuru sana
Mungu akupe roho hiyo hiyo
Hakika una roho ya kipekeee
Sikuamini kama unaweza kunipa ushauri mzuri hivi.

By the way mkuu Mimi Nina leseni class A² na D Ina miaka minne.

Sasa nataka kurenew ili nipate class E niweze kuomba kazi ajira portal

Niingie kwenye mfumo kama dereva baadae nifanye recategorization mana Nina shahada ya Maendeleo ya jamii na bado sija upload vyeti vya chuo kwenye mfumo wa ajira portal

Mkuu japo hakuna mtu mwenyeji duniani ila mawazo Yangu ni mazuri???
Mawazo yako ni mazuri tu, tena sana. Madogo kibao wameanza kazi kama maafisa watendaji wa vijiji huko kisha wanaangalia michongo mingine. Hii dunia hakuna mwenyeji ila wapo waliotangulia.
 
Nashukuru sana Ngoja nipate fani ya udereva

Baada ya hapo iwe kama taaaluma Yangu ya pili lakini pia iwe njia ya kuingia kwenye mfumo wa serikali

Back
Top Bottom