Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Thread closedUnachodaiwa ni kodi, sio ruhusa yako ya kuendesha chombo cha moto.
Unachodaiwa ni kodi, sio ruhusa yako ya kuendesha chombo cha moto.
Mawazo yako ni mazuri tu, tena sana. Madogo kibao wameanza kazi kama maafisa watendaji wa vijiji huko kisha wanaangalia michongo mingine. Hii dunia hakuna mwenyeji ila wapo waliotangulia.MKuu nashukuru sana
Mungu akupe roho hiyo hiyo
Hakika una roho ya kipekeee
Sikuamini kama unaweza kunipa ushauri mzuri hivi.
By the way mkuu Mimi Nina leseni class A² na D Ina miaka minne.
Sasa nataka kurenew ili nipate class E niweze kuomba kazi ajira portal
Niingie kwenye mfumo kama dereva baadae nifanye recategorization mana Nina shahada ya Maendeleo ya jamii na bado sija upload vyeti vya chuo kwenye mfumo wa ajira portal
Mkuu japo hakuna mtu mwenyeji duniani ila mawazo Yangu ni mazuri???
Mawazo yako ni mazuri tu, tena sana. Madogo kibao wameanza kazi kama maafisa watendaji wa vijiji huko kisha wanaangalia michongo mingine. Hii dunia hakuna mwenyeji ila wapo waliotangulia.