Uchaguzi 2020 Kama TPSF ni wakweli, then, JPM, CCM itashinda ushindi wa kishindo cha ajabu! But for National Unity, TL ateuliwe Ubunge kuwafariji his sympathizers?

Uchaguzi 2020 Kama TPSF ni wakweli, then, JPM, CCM itashinda ushindi wa kishindo cha ajabu! But for National Unity, TL ateuliwe Ubunge kuwafariji his sympathizers?

Mkuu, ila skuizi umezidisha kujipendekeza huku unajikosha walahi[emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway, bilashaka this time hauto sahaulika tena...[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Matajiri wataishi Kama mashetani. TRA wanafanya yao

Mtetezi wa wanyonge. Akafuta FAO LA KUJITOA

TUCTA nao watoe kauli kumpongeza kwa kufuta FAO la kujitoa
 
Hao ni viongozi wa hizo taasisi wanatetea vibarua vyao. Nilishawahi kuongea na baadhi ya viongozi wa wafanyabisahara swala la pesa kukwapuliwa kwenye Bureau de change limewakera sana na wengi wana machungu na wengi wao wana malalamiko na TRA. Ukipenda kusifiwa sifa utazipata kweli kweli!
 
Tangu ilipopita hii siku ulipigwa Spana za kibabe,,hatukushangai kua mlamba viatu.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali, ikitokea Tundu Lissu ameshindwa uchaguzi huu kihalali katika Uchaguzi Mkuu huru na wa haki, jee tumchagize JPM, for the the sake of national unity, and to heal the nation, amteue Tundu Lissu kuwa Mbunge wa kuteuliwa katika zile nafasi zake kumi za uteuzi as a consolation prize na kuwapooza sympathisers wake watakao mpigia Tundu Lissu, compassionate and sympathetic votes?...
Huo MUUNGANO wa TAASISI zilizondani ya TPSF Kuhusiana na KUMCHAGUA JPM una KIBALI CHA TUME YA UCHAGUZI?

VIKAO VYA TAASISI MOJAMOJA VIKIFANYIKA LINI?

MINITI ZA VIKAO HIVYO ZIWEKWE WAZI.

VINGIBEVYO,

KONGAMANO LA TPSF LITANGAZWE KUWA NI "HARAMU"

Tundu Lisu, Mwalimu, Zito Kabwe, Maalim Seif NAWAOMBA muongelee SUALA HILO KWENYE MIKUTANO YA KAMPENI.

NI NANI KIONGOZI WA TPSF?

ANATOKA KANDA GANI?

NI WA UKOO WA NANI?

NI WA KARIBU NA MKUBWA GANI KITAIFA?

ELEZEENI U - HARAMU WA TAMKO HILO.
 
Tundu Lissu akishindwa uchaguzi, siungi mkono ushauri wako wa kupewa Ubunge wa viti maalumu, apana apana, hiyo sio Hadhi yake, Lissue aenedelee kuwa THE CHECK AND BALANCE YA MAGUFULI , kwa hivyo wana CHADEMA watumie akili na kupunguza Jazba, na wapime situtation na wafanye maamuzi chanya.

Kama kumuomba MBOWE astaafy uu Mwenye KIti wa Chadema na LISSU ateuliwe mwenye kiti. Position hii itampa 5 years ya kujijemga vizuri kisiasa, kukijenga upya Chadema na kukifanya chama cha kitaifa kwelikweli, na kuondoa dhana ya sasa kuwa ni chama cha wazawa wa kilimanjaro.
 
Aliambiwa apewe kakazi kakutana amekataa, sasa huo ubunge apewèkwa lipi?

October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali, ikitokea Tundu Lissu ameshindwa uchaguzi huu kihalali katika Uchaguzi Mkuu huru na wa haki, jee tumchagize JPM, for the the sake of national unity, and to heal the nation, amteue Tundu Lissu kuwa Mbunge wa kuteuliwa katika zile nafasi zake kumi za uteuzi as a consolation prize na kuwapooza sympathisers wake watakao mpigia Tundu Lissu, compassionate and sympathetic votes?
Kaimu Mkiti wa TPSF ni Msukuma na ni Dada yake Mkuu wa Majeshi katika ukoo Mmoja

Ulitegemea nini? Kwa hawa wasukuma wa pale Magu
 
Mayala amekwisha habari yake. Ht hiyo kura 1 mm naona hakustahili. Amejitia upofu wa fijra kwa sababu ya njaa. Hali halisi ya sasa anaijua vzr. Unafiki na kujipendekeza ndiyo mfumo uliowekwa na Mkuu wa Nchi. Ht TPSF lazima wajipendekeze. Ahadi hizi zinaweza zisiwe halisi kwa kiasi kikubwa sana.
 
Juzi Magufuli analia kuwa vijana wamekosa ajira. Sasa kama sekta binafsi iko vizuri sana, mbona vijana hawana ajira?

Tatizo wanamsifu kwa uongo sana, wakati wananchi ndio tunaishi ukweli. October 28 watajua mbivu na mbichi
 
Utakuwa unaongelea watu tofauti na Wafanyabiashara. Kwa hiyo Yale maigizo ya Jana ndo unaona wanawakilisha wafanyabiashara na kwamba wafuasi wao watawasikiliza na kumpigia kura "Mtu wako?" Wafanyabiashara wanajua walivyoumizwa na Magufuli na hata hao wana Jambo lao Okt 28.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali, ikitokea Tundu Lissu ameshindwa uchaguzi huu kihalali katika Uchaguzi Mkuu huru na wa haki, jee tumchagize JPM, for the the sake of national unity, and to heal the nation, amteue Tundu Lissu kuwa Mbunge wa kuteuliwa katika zile nafasi zake kumi za uteuzi as a consolation prize na kuwapooza sympathisers wake watakao mpigia Tundu Lissu, compassionate and sympathetic votes?
Lisu hatakiwi kuwa sehemu yoyote ya maamuzi wala kuwa na immunity ya kibunge atasumbua sana ana mdomo usio tulia
 
Naunga mkono hoja ya Pascal Mayalla!!

Ni kweli... kama ni kweli, TPSF na lundo lile la wanachama wake rasmi na wasio rasmi!

Kama ni kweli Viongozi wa TPSF wametumwa na wanachama wake kumwambia JPM kwamba wao kura zao ZOOOOTE ni kwa JPM ingawaje hata mimi nikiwa mmoja wa wana-TPSF lakini kwenye sekta yangu nina uhakika hatujawahi kuwatuma hayo viongozi wa TPSF; basi ni kweli JPM atashinda kwa kishindo kuliko kishindo ambacho alishinda nacho Mkwele mwaka 2005!!!

Orodha ya Pasco imeacha kundi lingine kubwa sana, tena sana! Hili ni kundi la Wakulima ambao wao wapo chini ya mwamvuli wa TCCAI; TCCIA ambayo nayo ipo chini ya mwamvuli wa TPSF!!

Sasa kama ni kweli shangazi zangu kule Kilwa Kisiwani ambao msimu wa kilimo huwa wanaenda Kipatimu; ikiwa hawa nao walikusanyika na kuiagiza TCCIA wakawaambie TPSF kwamba kura zao ZOOOOTE ni kwa Magu basi hakika mwaka huu ni 99.9%!!!

Dah!!! Title ya thread + Pasco wa sasa kwa wengi ni taarifa tosha ya kumtundika Pasco msalabani!!
 
Yangu ni mawili:

1/ Hakutakuwa na serekali itakayoundwa kama Tundu Lissu hatakuwa rais kwani ni wazi uchaguzi huu atamshinda JPM kwa mbali sana.
Na kwa kinywa chake mwenyewe Tundu Lissu ametamka si mara moja wala mara mbili bali several times kwamba akishinda lazima atangazwe, iwe kwa heri au shari!

So, discussion ya "viti maalumu" imlenge zaidi JPM na si Lissu.

2/ Taasisi zote hapa nchini (both public and private) zimetekwa nyara kisiasa (political captivity) na zinachokifanya katika hali hiyo ni kuhitaji tu ku survive the storm hadi ipite na si vinginevyo.

Ukiongea na watu mmoja mmoja kutoka taasisi hizo ambao tuko nao sana huku mitaani na tunakutana nao katika masuala mbalimbali ya kibiashara, over 75% of them wanatamani sana JPM asirudi madarakani October. It's a fact.

Hata wewe ndugu yetu Paskali ni political captive - kama walivyo kina Mo Dewji, Nape, Makambas (Jr & Sr), Kinana - the list goes on and on and on. Mo Dewji or even Bakhresa wataipendaje serekali ambayo imesababisha considerable shrinkage katika turnovers na profitability zao? Does it make any sense to you?

How kwa mfano can Kinana, Nape and the Makambas vouch for JPM after being humiliated to the extent they have been?
Wewe mwenyewe Paskali 3 years ago ulikuwa miongoni mwa critiques wakubwa wa JPM but ulipoanza kupata kibano na biashara zako kuanza kuporomoka, umefanya spectacular u-turn. You're nothing but a political captive na nina uhakika by 100% you will vote against JPM (japo i know huwezi kukiri hili publicly just like that PSPF bunch!).

Nawasihi Watanzania wenzangu tuungane pamoja kuirudisha nchi kwenye sobriety October.
 
Hakuna wa kumteua huyo mropokaji, yeye apambane aingie madarakani kwa nguvu za wapiga kura wake wake.
Akishindwa, yeye pamoja na watu wake itabidi wasubiri miaka hamsa ijayo.
 
Back
Top Bottom