mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Magufuli anakubalika kwa wakubwa wenzie huko ila Lissu ni kada mnasi yote hiii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀 Ni swala la muda tu,choroko na mbaazi vitakaa sehemu yake.Na kwa kinywa chake mwenyewe Tundu Lissu ametamka si mara moja wala mara mbili bali several times kwamba akishinda lazima atangazwe, iwe kwa heri au shari!
So, discussion ya "viti maalumu" imlenge zaidi JPM na si Lissu.
Kadamnasi ya Jf au?Magufuli anakubalika kwa wakubwa wenzie huko ila Lissu ni kada mnasi yote hiii.
hIVI AKILI ZAKO ZINAKUAMBIA LISSU ATALETA AJIRA, KIJANA FUNGUA MACHO NA MSIMPACHIKE MGOMBEA WENU ZIGO ASILOWEZA KULIBEBA. KIJANA NI KAWAIDA KWENYE KAMPENI WANASIASA KUTOA AHADI 100 NA KUTIMIZA 10. KUPUNGUZA AJIRA TANZANIA KWA ASILIMIA 60, ITATUCHUKUA MIAKA KAMA 20 YA UCHUMI USIOPUNGUA 5-7% KILA MWAKA, NA LAZIMA KUWE NA MCHANGANYIKO WA UCHUMI WA BIASHARA, KILIMO, VIWANDA NA MADINI. TUKITEGEMEA BIASHARA ZA KUAGIZA VITU NA KUVIUZA TUU , TUTAZIDI KWENDA CHINI NA KUTEGEMEA NCHI KAMA CHINA KWA BIDHAJuzi Magufuli analia kuwa vijana wamekosa ajira.... sasa kama sekta binafsi iko vizuri sana, mbona vijana hawana ajira?
Tatizo wanamsifu kwa uongo sana, wakati wananchi ndio tunaishi ukweli. October 28 watajua mbivu na mbichi
Pamoja na kutambua ushindi wa JPM upo wazi kabisa kutokana na ugeugeu na unafikir wa upinzani Ila bandiko lako limeegemea ktk kujipa promo na kujipendekeza zaidi.
Paskal tambua JPM anasifika kwa makubwa alofanya ndan ya muda mgupi lakini asifiwi kwa masifa ya mapambio ili mpate vyeo wengine.
Hebu safisha kalamu yako,Kuna mengi JPM kafanya unaweza kuyachambua kwa uweledi na kulinganisha awamu zilopita,Mnashindwa na Masanja mkandamizaji anayeonesha kinaga ubaga nchi ilivyojengwa!
Nataka=njaa isikuharibu kabisa akili,JPM haitaji sifa za kujipendekeza kwa maslahi ya mtu,yule Ni mzalendo na muumini wa uzalendo asili kabisaaa,na Sisi huku mtaani tunamkubali kinomaaaaaaaaaaaaa
Juzi Magufuli analia kuwa vijana wamekosa ajira.... sasa kama sekta binafsi iko vizuri sana, mbona vijana hawana ajira?
Tatizo wanamsifu kwa uongo sana, wakati wananchi ndio tunaishi ukweli. October 28 watajua mbivu na mbichi
Kula zihesabiwe hadharani kama walivyofanya CCM kwenye kura za moaniLisu ni mpango wa Mungu, hao wote wanamhadaa ili asiendelee na kampeni, wanamdanganya kuwa ameshashinda, Safi Sana, lazima neno la mwalimu Nyerere litimie, kwamba, wakuiondoa ccm ni ccm wenyewe, kwasasa vituko vyote vinavyoonekana ni Mpango wa Mungu kuweka bayana chanzo Cha ccm kuangushwa kwa fedheha 28 October,
Kama dola ya RUMI ilianguka, ccm haitoshindikana pia
Maana ya Mayalla ni njaaNdugu njaa paskali
Lissu ana kura zote za haya makundi....
1.Watumishi wote wa umma ikiwemo TISS na polisi
2.Wakulima
3.Machinga
4.Mama Ntilie
5.Vijana wasio na ajira maalumu
6.Wanafunzi wa elimu ya juu
7.Vijana waliokosa ajira kabsa
8.CCM wote wasiofadika na mfumo
9.Chadema wote
10.Viongozi wa dini zote
.
.
.
.
.
.
.20.Waislam
Lissu siyo size ya hawa nziLissu angetaka dezo angeshavipataka,huyu mchumia tumbo mganga njaa asitutoe kwenye reli
Mayala bandiko lako limewatoa kwenye reli CHADEMA maana walikuwa kwenye right truck! Magu 5 tena # kaziendeleee.Wee jamaa ni MJINGA sana pole
Mkuu hii kauli ni very strong bila reference inaleta utata. Kwamba mnajua watumishi wa serikali watamchagua nani!!Hii ya TPSF, ni ukiondoa watumishi wa serikali ambao tunajua watamchagua nani
Sasa ulishaona wapi mtu kapigwa risasi upande wa kushoto na kuumia upande wa kulia!Kwanza nilishaamua kakudharau siku nyingi kwasababu ya Mambo matatu.
1.Kusema Lissu alijipiga risasi mwenyewe.
2. Kumsnichi kabendera mpaka akapatwa na yaliyompata.
3. Kuwa muongo wa makusudi kabisa hasa kwenye siasa za Tanzania.
Pengine ndio maana waliokujua walikupa kura moja tu na hiyo ndio sample ya kweli yoyote anayejiambatanisha na magu anavuna mabua wewe ni mfano dhahiri.
Swali langu.
Kama wewe ulipata one vote je magu si ni replica na reflection ya kura zako/yako? Hiyo CCM yako itashindia wapi? Hakuna mtu timamu kwasasa anataka kusikia habari za Magufuli labda mtumie dola ila kihalali hamshindi na mtashindwa kwa Kishindo.
Mnachokifanya Sasa ni last kiks of a dying horse mnatapatapa na hao mnaowaita tpsf kwanza wanawanafikia tu mioyo Yao Wala haiko nanyi.
Mitano tuliyowapa mmelitesa na kulinyanyasa taifa Nani awape Tena kura nendeni zenu huko wauwaji wakubwa nyie.