Uchaguzi 2020 Kama TPSF ni wakweli, then, JPM, CCM itashinda ushindi wa kishindo cha ajabu! But for National Unity, TL ateuliwe Ubunge kuwafariji his sympathizers?

Mkuu P

Haho TPSF mbona hawasemi na kuuliza maswali,
Je wale wafanyabiashara wa maduka ya kubadilishia fedha,walivyopolwa pesa zao ni lini wataludishiwa?
Au wale siyo wa sekta binafisi?

Cc:
Wale TPSF ule mkutano waliandaliwa na CCM hayakuwa matakwa yao,
Ndiyo maana hata kuongea kwao walikuwa wanababaika.
 
Jana rasmi TPSF wamemuaga, maana baada ya hapo ataitwa mstaafu hawatokuwa na nafasi ya kumuaga tena.
 
Hao TPSF ni genge la wasoko tonge, nenda ground uone hali ilivyo kwa wafanya biashara
 
Jambo muhimu kuliko yote ni katiba mpya ya Warioba. Wapo watu wapenda haki,usawa na maendeleo ya taifa hili lakini wapo nje ya mfumo wa sasa wa vyama vya siasa.
Lakini hivi vyama si vyote viko kwa maslahi mapana ya taifa hili,wakati mwingine vipo compromised,na vingine ni mali ya watu binafsi.
Tanzania ni nchi ya wananchi wote isiwe lazima kupitia chama cha siasa kugombea nafasi za uchanguzi mkuu na serikali za mitaa.
Tukiweza kumpa mwananchi uhuru kuchagua mtu anaemtaka,haitachukuwa muda kuona hivyo vyama vikijirekebisha ili kukidhi matakwa ya wananchi.
 
Kosa kubwa sana kumpa Ubunge Tundu Lissu au hata Zitto Kabwe
yaani hapo ni kuua upinzani hapa Nchini
Mtawala yoyote hapa Duniani asipokuwa na mpinzani atajisahau na kujimilikisha mpaka Binadamu
Trump na yule wa Russia wana wapinzani wakali na hawalali
 


Nyie ndio mmeharibu JF na kuonekana ina watu wenye akili ndogo kama wewe

Kwanza wewe ni far inferior kwa Mayala, na ndio maana unafikiri anawaza cheo

Inferiority ni pamoja na kuwa insecure, hauwazi hoja unawaza mtoa hoja! Mkapa alisema wapumbavu

Pia nina uhakika, haufanyi kwa Mayala tu, hata kwa wengine kazini kwako...una roho ya kuhukumu

Kwa post yako hii kila mmoja anapaswa kuonekana anajipendekeza.Mayala ni jina lake kamili, ni mwana CCM yuko wazi kabisa na siku anaenda kuchukua kadi alisema

Mayala ana firms zake na uwezo wake, kama kwa akili zako unawaza watu wanaokuwa upande wa CCM wote wanataka vyeo, uko wrong sana.Bakhresa, Mohamed Dewj wanataka nini CCM? Hao wakuu wa wilaya, mikoa unajua wanalipwa sh ngapi??

Tackle the topic bana, msiharibu jukwaa

Ukiona tu nimemletea mama yako soda ya cocacola na chips mayai...utawaza nataka nini??

Grow up
 
P.
Haya ulyoyaandika yametoka kwenye ubongo wako? Kama kweli Basi Kuna shida kubwa katika huo ubongo. Mtafute therapist akusaidie maana una matarajio yasiyofikka Kama ya kupata uteuzi na hili la kujiita mzalendo huku ukijua wewe ni mzalendo uchwara unayewazia tumbo lako tu!
 
Jinsi sekta binafsi ilivyoyumba ....mhh unafiki tuu unaendelea.
Kura ni kwa upinzani na ni siri yetu. Ukijiweka wazi kuwa kura yako ni upinzani, ccm na dola yake vitakuadhibu.
Na hilo ndilo jambo letu tarehe 28/10/2020
 
Kutoka mwandishi nguli,mpaka mwandishi kunguni.unazeeka vibaya kaka.we ni kada wa chama huna tena Uwezo was unalizi siasa kwa mzani.

Ukweli huna jipya kwa sasa.mfumo umekufumua.magu amewachezesha sphere waandishi.
Namshukuru mchina kwa kuleta simu kubwa.
Mwaka wa 5 sina mda in gazeti wala TV.ila hakuna habari inayonipita.

Ingeonekana wa maana kama ungekemea kwanza,vyombo vya habari kuacha kusifu na kumwabudu magu.TL amewakikishia watz kuwa vyombo vya habari kwa sasa sio ishu.na in kweli.
Polen makada felia.
Mr Amigo
 
Lissu hata kuteuliwa ubunge hafai, nani amteue wakati kutwa kucha ni kubeza kila kitu. Atateuliwa na kina Robert Amsterdam na Mbowe wa saccos. Watanzania wazalendo, tunakwenda na JPM.
Kwenye mabandiko yalopoa kama hili la mayalla mnajitokeza haraka sana,. Lakini mabandiko ya moto hamuonekani, mkijitahidi sana unagusa tu kidogo mbio.
 
Wanaccm woòoteeee
Someni Waraka wa Mtume Paulo kwa Wakolosai
Sura ya tatu , aya ya 25

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha sukari yetu tunamwaga ziwa Victoria tu.

CCM walisema hawahitaji kura zetu ili kushinda, hivyo KURA ZOTE kwa Tundu Lisu na CHADEMA.

Hiyo mikutano haitusaidii kwa sasa TSPF ndio nani?!
 
Huo ubunge wa kuteuliwa upewe wewe tu
 
Lissu hata kuteuliwa ubunge hafai, nani amteue wakati kutwa kucha ni kubeza kila kitu. Atateuliwa na kina Robert Amsterdam na Mbowe wa saccos. Watanzania wazalendo, tunakwenda na JPM.
Unaweza jikuta mzalendo ni wewe na baraza la mawaziri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…