Uchaguzi 2020 Kama TPSF ni wakweli, then, JPM, CCM itashinda ushindi wa kishindo cha ajabu! But for National Unity, TL ateuliwe Ubunge kuwafariji his sympathizers?

Kaka andika na swali ikitokea Maguful akashindwa.
 
Hicho kikao kiliitishwa na Magufuli kama sehemu ya kampeni kuaminisha wajinga kuwa private sector iko nyuma yake, wakati kila mtu ni shahidi kuwa katika myaka mitano ya utawala wake biashara nyingi za watu binafsi zimkuga au kuporomoka. Jamaa ni sadist kwa kifupi
 
Magufuli anashinda lakini ningependa na mm nichangie kwenye huo ushindi kwa kumpigia kura, wakati ushindi unatangazwa na mm nijue nimechangia
 
Hili ambalo unapendekeza kwa hao watu ambao kazi yao ni kutukana na kubeza hapana.Tunasema tena hapana.Wapo wanaostahili lakini sio hao uliowataja.
 
Hili ambalo unapendekeza kwa hao watu ambao kazi yao ni kutukana na kubeza hapana.Tunasema tena hapana.Wapo wanaostahili lakini sio hao uliowataja.
Na kwa kuongezea mkuu,sasa kama ulivyomsikia Membe leo anaongea , je wewe unaona kuna kitu tena pale ? Anakuambia serikali imekopa sana na ina mzigo mkubwa wa madeni na haina fedha kabisa halafu sentensi inayofuata anasema serikali inajipa mzigo mkubwa wa kutekeleza miradi yake mikubwa kwa fedha zake zenyewe badala ya kukopa.Sasa wewe unaona hapo zimo ? Anazidi kusema watu sasa Dar wanashinda na wanalalia kahawa na mihogo,kwa utafiti gani au dish limeshacheza.
Lililonishtua ni pale yeye akielezea safari yake aliyoenda nje inaonekana ameshasahau hata nchi aliyoenda mpaka anaomba akumbushwe na wenzake aliokaa nao meza kuu.Ule ni msiba.
Kwa ujumla kuna kitu kimeenda kombo kwa Membe.Badala ya kushauri apewe cheo,hebu tumia kalamu yako uwashauri ndugu zake wa karibu wajaribu kumsaidia kwa njia yoyote ili arudi hali yake ya kawaida.
Kuna wakati vilevile alisema ' chama chetu cha CCM' kipo hoi kifedha.Kwa hiyo bado anaonyesha ana 'hangover' ya chama cha mapinduzi.
Membe anahitaji msaada.
 
Pascal Mayalla unazungumzia Lissu yupi? Huyu huyu aliyekuwa anazunguka huko Marekani na Ulaya akinanga serikali ya Tanzania na Mh Rais JPM.

 
Huyu CEO wa tpsf ni kada kindakindaki, pengine kukuzidi wewe.
Wote, wewe na yeye ni watu wa mapambio tu, hamna lolote.
 
Kaimu Mkiti wa TPSF ni Msukuma na ni Dada yake Mkuu wa Majeshi katika ukoo Mmoja

Ulitegemea nini? Kwa hawa wasukuma wa pale Magu

TPSF ni JANGA la Kitaifa.

Huyo kaimu Mwenyekiti alipatikanaje?

Unategemea KAULI GANI kutoka ukoo wa mabeyo juu ya magufuli?

"TPSF IMETUMIKA VIBAYA"
 
POINTS OF CORRECTION:
1) My vote for Lissu is not Sympathetic but a vote for my ABSOLUTE TRUST!
2) I will be content to see Lissu as vice chairman of our party rather than see him being given a Sympathetic position as an MP!
3) We can always have a clause, in our new constitution, which will make it a RIGHT for the first and second runner-ups of the presidential contest to be members of the parliament by merit and thus give no room for tyrants TO SHOW THEIR SYMPATHY!!!
 
Mkuu Kishimbe wa Kishimbe , kwanza asante kwa objectivity
1. Kwenye bandiko hili nimesema Tundu Lissu ataambulia ambulia kura za sympathetic votes, wewe unasema "My vote for Lissu is not Sympathetic but a vote for my ABSOLUTE TRUST!"

Jee unaweza ku share hiyo absolute truth ili na sisi tujue utamchagulia nini?.

2. Nimeipenda honest yako kwenye uwezo wa Tundu Lissu, as a top leader at driver's seat, that you will be content to see Lissu as vice chairman of our party rather than see him being given a Sympathetic position as an MP!

Why you see Lissu as a vice chairman, why not being Chairman?.

3. Hoja yako ya tatu, ni hoja ya msingi sana, nakuunga mkono asilimia 100% chini ya 100%, tubadili katiba, tuweke clause, wagombea wote wa urais, watakao pata kura zaidi ya asilimia 10%, wawe wabunge wa taifa automatically.

Mimi kwenye bandiko langu hili, nimemshauri Magufuli, kwa vile atashinda kwa kishindo, then awateue, Lissu, Zitto, Mbowe, Lipumba na Mbatia, wawe wabunge wa kuteuliwa!.

P
 
Lissu hata kuteuliwa ubunge hafai, nani amteue wakati kutwa kucha ni kubeza kila kitu. Atateuliwa na kina Robert Amsterdam na Mbowe wa saccos. Watanzania wazalendo, tunakwenda na JPM.

Mkuu nyingi mnajitahidi kufanya mizaha mizaha kwenye mambo mihimu katika siasa za uchaguzi.

Uchaguzi wa kisiasa - wananchi wanachagua mtu ambaye watamkabidhi madaraka na mamlaka ili agawe mali zao na mamlaka kwa awatakao kwa niaba yao na maendeleo yao.

Yule unaye nyang'anyia kupigiwa kura na wananchi ama umwache bila kupigika ili akudhuru kisiasa kesho ?

Umsage sage awe uji ili mkikutana nae kwenye uchaguzi ujao ama awe amepigika sana hawezi kujibu mashambulizi, au awe anaendelea kutibu madonda ambayo bado yatabaki kuwa mabichi kisiasa kwa wakati wote.

Kwa siasa za ushindani za kibepari na vyama vingi, Magufuli hatakiwi kumpa ubunge Tundu Lissu.
 
Paskali Mayala hakuna vyeo vya kufarijiana hapa, mwache tu ale jeuri yake.
 
Rejea...
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…