Kama Trump kaweza kukutana na Putin Mama Samia anakwama wapi?

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Kama kuna mgogoro mkubwa duniani ni pamoja na mgogoro wa Urusi na Ukaine. Lakini sasa watu wanapambana kutafuta suluhu.

Israel na Iran wameweza kukakaa pamoja na kukubaliana hivyo hivyo kwa India na Pakistani. Sisi tunafeli wapi?

Dunia inapambana kumaliza migogoro iliyopo sisi tunapambana kuzalisha mgogoro mpya sio sawa kabisa.

Busara ituongoze
 
washauri wake, waarabu, maponjolo, kikwete wamemkamata
 
Kama kuna mgogoro mkubwa duniani ni pamoja na mgogoro wa Urusi na Ukaine. Lakini sasa watu wanapambana kutafuta suluhu.

Israel na Iran wameweza kukakaa pamoja na kukubaliana hivyo hivyo kwa India na Pakistani. Sisi tunafeli wapi?

Dunia inapambana kumaliza migogoro iliyopo sisi tunapambana kuzalisha mgogoro mpya sio sawa kabisa.

Busara ituongoze
Rais akutane na nani? Yaani Rais akutane na mhalifu au unamaanisha nini?
 
Sure sioni sababu ya kuendelea kukomaa bora hata huo uhaini ungekuwa kweli!
 
Kama kuna mgogoro mkubwa duniani ni pamoja na mgogoro wa Urusi na Ukaine. Lakini sasa watu wanapambana kutafuta suluhu.

Israel na Iran wameweza kukakaa pamoja na kukubaliana hivyo hivyo kwa India na Pakistani. Sisi tunafeli wapi?

Dunia inapambana kumaliza migogoro iliyopo sisi tunapambana kuzalisha mgogoro mpya sio sawa kabisa.

Busara ituongoze
Kaka una hoja ya msingi sana
 
Putin huwa anatembea na mbwa mweusi kabla muulize Angela Michael waziri mkuu wa German alikosa amani hata akasahu kuuliza maswali
 
Lıssu huyo mwenyewe unayesema akutane naye hatakı reconcılıtıon nı mtu wa kujıkuza, kujıona yeye ana mısımamo mıkalı na sı wale mlıowazoea, bıla kujua kıla kıtu kınazungumzıka, alımwano mbowe nı boya maana alıkuwa anapenda reconcılıatıon , yeye anajıona kuwa sı wale mlıowazoea yeye nı type nyıngıne, mara ngapı mama samıa anasema tuongee, sı mpaka yeye tuu, wasıra anaımba kıla sıku njoo tuzungumzee, mnadharau, dunıa nzıma ınafanya mazunguzo, wewe unajıfanya whıle you do not have any card. the one wıth card ıs very polıte
 
Back
Top Bottom