Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
washauri wake, waarabu, maponjolo, kikwete wamemkamataKama kuna mgogoro mkubwa duniani ni pamoja na mgogoro wa Urusi na Ukaine. Lakini sasa watu wanapambana kutafuta suluhu.
Israel na Iran wameweza kukakaa pamoja na kukubaliana hivyo hivyo kwa India na Pakistani. Sisi tunafeli wapi?
Dunia inapambana kumaliza migogoro iliyopo sisi tunapambana kuzalisha mgogoro mpya sio sawa kabisa.
Busara ituongoze
Rais akutane na nani? Yaani Rais akutane na mhalifu au unamaanisha nini?Kama kuna mgogoro mkubwa duniani ni pamoja na mgogoro wa Urusi na Ukaine. Lakini sasa watu wanapambana kutafuta suluhu.
Israel na Iran wameweza kukakaa pamoja na kukubaliana hivyo hivyo kwa India na Pakistani. Sisi tunafeli wapi?
Dunia inapambana kumaliza migogoro iliyopo sisi tunapambana kuzalisha mgogoro mpya sio sawa kabisa.
Busara ituongoze
Najuwa unaongozwa na mihemko basi ungejaribu walau kuficha upumbavu wako japo kidogo.Rais akutane na nani? Yaani Rais akutane na mhalifu au unamaanisha nini?
Kaka una hoja ya msingi sanaKama kuna mgogoro mkubwa duniani ni pamoja na mgogoro wa Urusi na Ukaine. Lakini sasa watu wanapambana kutafuta suluhu.
Israel na Iran wameweza kukakaa pamoja na kukubaliana hivyo hivyo kwa India na Pakistani. Sisi tunafeli wapi?
Dunia inapambana kumaliza migogoro iliyopo sisi tunapambana kuzalisha mgogoro mpya sio sawa kabisa.
Busara ituongoze
Hapa tunajenga hoja sio tu kukubali kisa mtu kaposti. Kama haupendi mawazo tofauti, kaa kimya kenge wewe!!Najuwa unaongozwa na mihemko basi ungejaribu walau kuficha upumbavu wako japo kidogo.