GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mpumbavu huwa hasomi historia na hata akisoma huwa hajifunzi lolote huamini kitu kikubwa ni kuweka historia yake hivyo hujikuta amerudia makosa ya kihistoria ...wako bize wanalamba asali na kutumbia kama mkate hatuna tule kekiEndeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Mkuu kama bado hujapata kifungua kinywaEndeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Nenda Front sio jf au nenda kaandike Facebook huku jf unapoteza mda wako bure memba na wasomaji hawafiki hata 100k..Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Unfortunately hizo shida zitawapata watu wa Dar tuu sir wengine wa mikoani tuache kulima tuje kujiunga na ujinga wenu..Huko Dar, Arusha ,Mwanza na Majiji mengne ilibidi mufe wote maana hiyo mikoa Haina wanamageuzi ..
Mavuguvugu Mara zote huanza mjini Sasa Nyie mmegeukka kuwa vilaza ...
Empty setNenda Front sio jf au nenda kaandike Facebook huku jf unapoteza mda wako bure memba na wasomaji hawafiki hata 100k..
Na achana na mifano ya mbali wewe popoma toa kabisa mfano wa Sudani kwa Al Bashir ilikuwa Ni mkate tuu akasepeshwa ila Kuna watu walitoka front..
Na wewe nenda front uone Moto popoma mkubwa ukikna umepuuzwa ujue Ni njaa zako binafsi.
Nenda fb usijifiche huku jf Hakuna watu..Empty set
These guys [our leaders] can't feel anything cause our taxes feeds tham and they earn from it also. Tha gap between them a d us is too big. They pass on the same road we use but we stopped to let them pass, are they gods?Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Kazi ya mwenge ni kuwapumbaza akili zenu.Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Tunamhitaji Maximilien Robespierre,Danton,nk kuweza kufanikisha Hilo zoezi.Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Sasa kama unajua Mtandao huu wa JamiiForums Kwako hauna Umuhimu na haukubaliki na Wengi kama ulivyokuja na hizi References zako inakuwaje upo nasi hapa tena hadi unapoteza na muda wako Kuchangia mpaka hata Kujadili Mada mbalimbali hapa.Nenda fb usijifiche huku jf Hakuna watu..
Ona hizi takwimu hapa za Tanzania ukiikuta jf nitag hii Ni kwa kukusaidia maana nyie Ni aidha waoga au Ni mapopoma tuu sijui mnataka Nani atangulie 👇
View attachment 2419958View attachment 2419959
Mimi nawa enjoy tuuSasa kama unajua Mtandao huu wa JamiiForums Kwako hauna Umuhimu na haukubaliki na Wengi kama ulivyokuja na hizi References zako inakuwaje upo nasi hapa tena hadi unapoteza na muda wako Kuchangia mpaka hata Kujadili Mada mbalimbali hapa.
Pumbavu.
PumbaEndeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Alafu anakuja mtu anawaambia watu wa Dar wanapenda kulalamika!Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Nikweli lakini umeenda mbali kutufananishia na ufaransaEndeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.