GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mbona nimeyatumia Mkuu? Mbunye na Mkuyenge.Mbona wewe hukuyaandika kama yalivyoandikwa kwenye Kamusi?
Acha kuhubiri utamu wa chai huku unakunywa mvinyo.
Mbona sioni hayo majina mm 👀Asanteni sana Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili ( TUKI ) kwa Toleo lenu la 3 la Kamusi yenu ya Kiswahili - Kiingereza kwa Kuyaandika bila Tafsida yoyote majina ya Sirini ya Wanawake na Wanaume kama ambavyo tukiwa Mitaani tunayatumia na hata tukizinguana huwa tunayatumia vile vile.
Sasa kama Wasomi, Watafiti na Wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameandika Mbunye kama inavyoitwa na Mkuyenge kama unavyoitwa Wewe ni nani ukatae kuyatumia au ujifanye kuona Aibu ukiyasikia au yakitumika au hata Wengine kupewa Adhabu pale wakiyatumia Mitandaoni?
Tuacheni Unafiki.
Mkuu mbona huku nilipo yanatumika kama yalivyo bila kona kona ya aina yoyote ile. Inaonekana Mkuu upo ushuani sana ndiyo maana hujabahatika kuyasikia yakiwa hayajachakachuliwaAsanteni sana Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili ( TUKI ) kwa Toleo lenu la 3 la Kamusi yenu ya Kiswahili - Kiingereza kwa Kuyaandika bila Tafsida yoyote majina ya Sirini ya Wanawake na Wanaume kama ambavyo tukiwa Mitaani tunayatumia na hata tukizinguana huwa tunayatumia vile vile.
Sasa kama Wasomi, Watafiti na Wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameandika Mbunye kama inavyoitwa na Mkuyenge kama unavyoitwa Wewe ni nani ukatae kuyatumia au ujifanye kuona Aibu ukiyasikia au yakitumika au hata Wengine kupewa Adhabu pale wakiyatumia Mitandaoni?
Tuacheni Unafiki.
Yaani kwenye kamusi imeandikwa Mbunye na Mkuyenge?Au majina yao halisi.Mbona nimeyatumia Mkuu? Mbunye na Mkuyenge.
Anaogopa kupewa adhabuMbona wewe hukuyaandika kama yalivyoandikwa kwenye Kamusi?
Acha kuhubiri utamu wa chai huku unakunywa mvinyo.
Nimecheka mpaka basi.Mkuu mbona huku nilipo yanatumika kama yalivyo bila kona kona ya aina yoyote ile. Inaonekana Mkuu upo ushuani sana ndiyo maana hujabahatika kuyasikia yakiwa hayajachakachuliwa
Majina yao ya halisi Kumaanisha na Uumeusikia.Yaani kwenye kamusi imeandikwa Mbunye na Mkuyenge?Au majina yao halisi.
mello mwenyewe ameitia kufuri hiyo ya wanawakeMboo na ****,
Nimeona aiseeeee ameifungia maxima...mello mwenyewe ameitia kufuri hiyo ya wanawake
Acha Uasherati / Uhuni Pimbi Wewe.Hiyo iliyotiwa pin ni tamu asikuambie mtu
Kupitia kichwa cha habari, nimegundua sijui vitu.Asanteni sana Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili ( TUKI ) kwa Toleo lenu la 3 la Kamusi yenu ya Kiswahili - Kiingereza kwa Kuyaandika bila Tafsida yoyote majina ya Sirini ya Wanawake na Wanaume kama ambavyo tukiwa Mitaani tunayatumia na hata tukizinguana huwa tunayatumia vile vile.