chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hiki chuo kama kinachukuliwa poa, sawa na Mzumbe "ilipoondolewa" Katika majukumu yake ya serikali za mitaa. Kwanza, nashauri chuo cha mipango kifanyiwe study, hakuna maendeleo bila mipango.
Tume ya mipango ina link vipi na chuo hiki? Kiwe ni chuo cha elimu ya awali au ya kujiendeleza? Mipango is cross cutting, I thought hii chuo ndio think tank ya taifa, lakini huwaoni wakiwa mstari wa mbele wakifanya critical analysis