Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.

Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.

Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.

Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.

Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.

Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu

Zaidi, soma mijadala hii:

1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu

3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
 
Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.

Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.

Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.

Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.

Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.

Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Nahisi nawe hoja unaiinua kisiasa. Ushindwe. Mpo wengi wenye mtizamo wa kipuuzi juu ya uongozi uliopo sasa. Udikiteta wenu umeisha nguvu. Tuinue taifa linalozingatia haki. Hamtaki? Mungu keshaamua na iwe. Tumepitia mengi unanitia uchungu kwa bandiko lako hili.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.

Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.

Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.

Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.

Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.

Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Kama hakuna USHAHIDI watu waendelee kuteseka!!!! Kama ushaidi upo watu walete ushaidi kesi iishe. Nyie ndio mnafanya nchi yetu ilaanike.
 
Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.

Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.

Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.

Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.

Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.

Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Hao watuhumiwa waliwekwa kizuizini kwa dhulma na mama hataki dhulma we kufa na roho mbaya yako je wale walioachiwa kungekuwa na baba yako ungesema maneno haya?
 
Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.

Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.

Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.

Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.

Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.

Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Kila zama na kitabu chake.
Kuna jambo la kujifunza, watanzania tuwe na uelewa mpana, tupendane kwani chuki haijengi.
 
Mleta uzi jaribu kufikiria vitu in 3D. Achana na mawazo mgando, tuungane kuomba nchi yetu ijenge misingi ya uongozi na si uongozi wa mtu mmoja kuanzia ngazi ya familia, kata, Wilaya, mkoa na Taifa

Si sawa kumuweka mtu mahabusu kwa miaka 9 hata kama kafanya kosa au unamdhania kafanya kosa. Tuzijengee mahakama zetu uwezo zitende haki na zitende kazi kwa wakati

Tukatae au tukubali, kama kuna sehemu mama (au Rais mwingine ajae) wa nchi yetu ana kazi ya kufanya ni kwenye mahakama na Polisi.
 
Back
Top Bottom