Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

Waliwekwa sero kwa sababu za kisiasa na wameachiwa kwa sababu hyo hyo ya kisiasa..shida iko wap?tumieni akili mlizopewa kufikir na c kuichosha miguu kwa kutembeza mmbichwa usio na kitu
 
Ndiyo mtuhumiwa wa Ugaidi anaweza kushikiliwa mpaka itakapoaminika hana madhara tena. Usiniulize sheria ya wapi.
INAFAHAMIKA ni ya kule shetani. ILA samahani ndugu YAONEKANA kama vile ndio KULE kwenu/ujombani kenu?
 
Ndugu mtoa mada watuhumiwa hawa wangekuwa wahalifu kweli wangeshafungwa mpk sasa...pesa ngapi serikali imetumia kuendesha hizi kesi na kesi na haziishi,Mama wa watu mnamlaumu bure vidume vimepita wameshindwa kuwatia hatiani hao watu..
 
Halafu mtoa mada amesahau kwamba kina Babu Seya na Kina Lulu walitolewa kwenye mazangira kama hayo hayo, Dad is coming
 
kama wana makosa wapigwe nyavu haiingii akilini watu wanakaa mahabusu miaka yote hiyo, kama hawana basi waachiwe upelelezi ukikamilika wakamatwe wapigwe nyavu.
 
Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.

Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.

Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.

Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.

Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.

Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu

Zaidi, soma mijadala hii:

1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu

3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Sheria ipo kwa maslahi ya jamii,
Haki si tu inatakiwa itendeke bali inatakiwa ionekane imetendeka. Wa kuiona kwamba imetendeka ni jamii.
 
Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.

Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.

Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.

Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.

Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.

Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu

Zaidi, soma mijadala hii:

1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu

3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Nakubalina na wewe kuwa kufuta kesi za hao jamaa waliokuwa wakimwagia watu tindikali ni jambo baya sana. Kuna binti mmoja wa kiingereza alimwagiwa tindikali bila kosa lolote, kwa vile tu alikuwa amevaa ambavyo uamsho walikuwa hawataki, jambo ambalo lilikuwa linatishia sekta ya utalii zanzibar. Baada ya kuwaweka ndani, uharifu wa tindikali ukaisha.

Hata hivyo, serikali nayo ilikosea sana kuwaweka ndani kwa miaka kumi bila kuwafungulia mashtaka yoyote. Kwa kuwacheleweshea mashtaka, serikali ilikuwa inawavunjia haki zao za binadamu. Kilichotakiwa ni kuwafikisha mahakamani na kumaliza kesi yao kuliko kuifuta kienyeji kama vile hawakuwa wamefanya jambo lolote.
 
Halafu mtoa mada amesahau kwamba kina Babu Seya na Kina Lulu walitolewa kwenye mazangira kama hayo hayo, Dad is coming
Hapana, hao walitolewa kwa msamaha wa rais kwa mujibu wa sheria, na ilikuwa ni baada baada ya sheria kuwa imechukua mkondo wake dhidi yao na kuonekana kweli walikuwa na hatia. Hawa wameachiwa ili kukwepa sheria kama vile hawana hatia yoyote.
 
Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.

Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.

Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.

Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.

Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.

Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu

Zaidi, soma mijadala hii:

1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu

3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Sikuona thread yako hapa wakati wabakaji wanaachiwa,hivyo nawasiwasi wewe ndiyo unatumia kisiasa
 
Kama tulifikia hatua kuwafunga watanzania wenzetu kwa sababu za kisiasa tulikuwa pabaya sana.Bora kaenda.
 
Magaidi huwa hayapelekwi mahakamani ni kuwekwa kuzuizini tuuu... hata marekani uko wanafanywa hivyo wanawapeleka gwantamano......
Hawa mashekh walisababisha vifo vya watu, mapadri, masheikh na watalii walipigwa risasi na kumwagiwa tindikali na makanisa kuchomwa.
Hawa walitakiwa kutandikwa risasi za vichwa tuuu si kukamatwa,,, dawa ya majambazi na magaidi ni kutandikwa risasi tuuu hakuna namna.....
Hawa magaidi hawato acha ugidi
Eti "hata Marekani wanafanywa hivyo"

Kwa akili yako ndogo yani kila kinachofanywa na mzungu kinakua ndio halali na ni mfano wa kuigwa na wengine?

Huko Marekani wanaoana watu wa jinsia moja,haya basi waige na wewe basi ili tuje tusherehekee harusi.
 
Naona kesi ndio ilikua ya kisiasa siyo ugaidi.miaka 9 mnapeleleza nini badala ya kuwahukumu watu ?
 
Hao watuhumiwa waliwekwa kizuizini kwa dhulma na mama hataki dhulma we kufa na roho mbaya yako je wale walioachiwa kungekuwa na baba yako ungesema maneno haya?
Dah!

Kudhani mama mpya kwenye system ni kukosa uelewa,alikuwepo, yupo na atakuwepo.

Tuendelee kujifurahisha na MAZINGAOMBWE ya viongozi wetu.
 
Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.

Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.

Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.

Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.

Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.

Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu

Zaidi, soma mijadala hii:

1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu

3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Walikamatwa kwa sababu za kisiasa,wameachiwa kwa sababu za kisiasa.Hapa kutakuwa hakuna tatizo lolote kwa kilichotokea

Pili Hata Kama Emanuel Nchimbi alitoa sababu zote hizo hakukuwa na ukweli wowote zaidi ya Mambo ya kisiasa.

Tatu Hakuna haja ya kuumia katika hili,Kwa kuwa aliewakamata (Serikali) ndio alitoa sababu za kuwakamata iwe kweli au si kweli na Leo imewaachia kwa sababu wao ndio waliowashikiria.Ukiumia Sana nenda mahakamani ili upate haki yako!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom