As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,538
Alikuwepo sawa lakini alikuwa Voiceless lakin sasa hivi yy ndiyo sauti ya mwishoDah!
Kudhani mama mpya kwenye system ni kukosa uelewa,alikuwepo, yupo na atakuwepo.
Tuendelee kujifurahisha na MAZINGAOMBWE ya viongozi wetu.
Mbona alivyotolewa babu seya ambae alushahukumiwa kwa ubakaji hamkusema sembuse Hawa ambao ni watuhumiwaNi wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.
Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.
Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.
Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.
Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.
Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Zaidi, soma mijadala hii:
1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar
2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu
3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Nakubalina na wewe kuwa kufuta kesi za hao jamaa waliokuwa wakimwagia watu tindikali ni jambo baya sana. Kuna binti mmoja wa kiingereza alimwagiwa tindikali bila kosa lolote, kwa vile tu alikuwa amevaa ambavyo uamsho walikuwa hawataki, jambo ambalo lilikuwa linatishia sekta ya utalii zanzibar. Baada ya kuwaweka ndani, uharifu wa tindikali ukaisha.
Hata hivyo, serikali nayo ilikosea sana kuwaweka ndani kwa miaka kumi bila kuwafungulia mashtaka yoyote. Kwa kuwacheleweshea mashtaka, serikali ilikuwa inawavunjia haki zao za binadamu. Kilichotakiwa ni kuwafikisha mahakamani na kumaliza kesi yao kuliko kuifuta kienyeji kama vile hawakuwa wamefanya jambo lolote.
Ni ile lugha iliyomshinda hayati JPM enzi zake. Wajukuu wake wanajitutumua humu angalau wasikike wakimchafua mama yetu.Samahani mkuu hii ni lugha gani?
Lakini umesahau kuwa watu hao hao walishitakiwa kwasababu ya kisiasa.Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.
Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.
Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.
Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.
Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.
Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Zaidi, soma mijadala hii:
1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar
2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu
3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
Tena Babu seya alikuwa ni convict.Hawa hata hukumu hawakupewa.Watanzania ni watu wa ajabu sanaWalipo achiwa kina Babu Seya kwanini hukuanzisha thd ya malalamiko?
Naona mashehe kuachiwa imekuchoma kama moto wa pasi.
ndo maana tunamkumbuka JPM.kwa kweli tabia hii ya wanasiasa kuingilia uhuru wa mahakama tutakuja kujuta muda si mrefu.Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.
Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu.
Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati huo Emmanuel Nchimbi alipointi wazi kuwa walihusika na umwagiaji watu tindikali huko Zanzibar.
Mimi binafsi nina hakika kuwa Emmanuel Nchimbi alikuwa na info za kutosha na za ukweli.
Ok achana na watuhumiwa wa ugaidi, kuna wapigaji na wabadhirifu nao wanaachiwa ili kufurahisha umma.
Hii ni hatua mbaya sana kwa taifa letu. Na haifai maana ni kama kukubaliana na kuunga mkono uhalifu
Zaidi, soma mijadala hii:
1) Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar
2) CCM yataka Uamsho Zanzibar ifutwe; Yataka Waziri wa Sheria ajiuzulu
3) Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar
we need powerful leaderShe afraid criticism
siyo waendelee kusota sheria zifanye kazi yake lkn sasa mahakama zinaonekana kutofanya kazi yake kwa uweledi.kuna vitu kwenye nchi yetu haviendi vizuri.tutavuna hicho tunachokipanda.huu mzaha wa kuchezea mahakama kwa kufurahisha watu huko tuendako tutalia.Anataka mashekhe waendelee kusota??
Kuachiwa huru walawiti waliothibitika kisheria kisha kuwaalika Ikulu ni jambo baya sana.Hoja sio wao kwenda ikulu bali ni walikuwa wafungwa tofauti na hawa mahabusu. Hilo la kwenda ikulu ni ishu nyingine
Mnateseka mkiwa wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Bora hata ingekuwa siasa. Hapo ni dini kwa kisingizio cha siasa.
Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi.