Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

Ila kuwafunga watu kwasababu za kisiasa ni sawa?!!
 
Ni kweli huyu mpumbavu anatutia hasira na uchungu sana. Watu wamekaa mahabusu miaka minane kama kuna ushahidi,wafunguliwe kesi mahakamani. Hakuna ushahidi,waachiwe.

Anapatikana raisi mpenda haki,anatokea mtu anajifanya eti mwanaCCM mzalendo,kila siku yeye anaponda maamuzi ya serikali!

Sikilizeni nyinyi masadist. Nyinyi kundi la Sabaya na Musiba,your days are numbered. Hatuwezi kukubali huu ujinga ambao munaendekeza wa kuikejeli serikali ya mama yetu kila siku.
 
Kama watuhumiwa walikamatwa kwa tuhuma za kisiasa za kubambikiana kesi lazima watoke kwa sababu za kisiasa.
Enzi za uonevu na kuabudu sanamu, hirizi, ushirikina, kunywa damu, kuimba na......... zimepita. Hizi Ni enzi za kuheshimu uwepo wa Mungu Muumba wa Mbingu na nchi na vyote vilivyomo.
 
Waachiwe tu warudi kuhubiri dini....itajulikana tu mbele ya safari.
 
Ukiona taifa linawekeza nguvu kubwa sana kuchunguza matumizi ya BTC ili ikubalike, fahamu kwamba tuna matatizo makubwa sana. Hilo ni tatizo la kupata kiongozi ambaye alikuwa kwenye NGO.

Hizi ni rasha rasha tu masika bado.
 
Kwa namna hii mboan mabilioni ya umma yatachota kila kona ya nchi kwa wezi wanona wapo Kwenye shitole country
 
Tumetoka huko kitambo

Acha hizo fikra
 

Kama ushahidi ulikuwepo kwanini kesi zimechukiwa miaka 8! Ni ujinga kesi yenye ushahidi kuchukuwa miaka 8! Wangewafunga leo hii wasingekuwa huru lakini huwezi kuweka kesi miaka 8
 
Hoja sio wao kwenda ikulu bali ni walikuwa wafungwa tofauti na hawa mahabusu. Hilo la kwenda ikulu ni ishu nyingine

..Ni rahisi kuwaachia mashekhe kwa hoja kwamba ushahidi dhidi yao umetafutwa kwa muda mrefu [ 9 yrs ] na hakuna kitu cha maana kilichopatikana dhidi yao.

..kwa upande wa kina Babu Seya na Papii wale walithibitika mahakamani kuwa ni walawiti watoto. Walijitetea mpaka ktk mahakama ya rufaa lakini walishindwa.

..Magufuli alikuwa kiongozi wa ajabu kuamua kuwaachia huru, na zaidi kuwapokea walawiti Ikulu. Kwa maoni yangu lile lilikuwa jambo la aibu kufanywa na kiongozi wa nchi.
 
Halafu wakiachiwa hao wanakamatwa kada wapambanaji dhidi ya ufisadi na dhulumati kwa wanyonge kama sabaya.
 

huyu mama amalize tu mda wake, never again tunawafanya this mistake ya haki sawa!
 

Tuhuma gani zinapelezwa miaka tisa bila kukamilika? Isitoshe kwanini wasishtakiwe Zanzibar? Watawala walikerwa na harakati za kisiasa za mashekhe. Inaelekea wanasiasa walitaka kuwaweka gerezani tu bila kuendesha kesi mahakamani. Jambo hili lisingewezakana Zanzibar kwa sababu sheria za huko zinaruhusu dhamana kwa makosa yote. Kinyume cha sheria wakahamishiwa bara ambapo kwa baadhi ya makosa dhamana hairuhusiwi! Haya ni matumizi mabaya ya madaraka na wahusika wanapaswa kuwajibishwa.
 
Kwa nini una roho mbaya hivi?

Mateso ya watu ndio furaha yako?

Inakusaidia nini hiyo roho mbaya uliyonayo?

Walio achiwa/kufunguliwa wangapi hukuwaona? umewaona hao tu?


"WACHA ROHO MBAYA"!!!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…