Kama tumemuacha huru aliyesababisha vifo pale Moshi huyu 'Mfalme' wa Mwanza tunamtesa kwa lipi?.

Kama wewe unaamini hivyo hata Zumaridi, Gwajima na Mwamposya wana haki ya kuamini hivyo wanavyoamini.
Hawa Wana macho wanajua ilipotoka corona .Hizi ni elimu upati darasani.Ni elimu kuhusu ulimwengu usioonekana ambao ndio unaotawala ulimwengu unaonekana. Jpm aliijua Siri hii akasema watu waombe ikawork Tza atukuathirika sana. Hata Mimi sichanji sababu naijua Siri iliyo nyuma ya chanjo.
 
Hizi ni elimu upati darasani.Ni elimu kuhusu ulimwengu usioonekana ambao ndio unaotawala ulimwengu unaonekana
Kama una kitabu chochote kuhusu hivi vitu nitumie
I'm interested in learning this things
 
Kwa hyo aachiwe tu bila mashart atabimba snan
 
Duh,
 
Aiseeee [emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
 
Tusiingilie taaluma za watu kama kweli kaonewa mahakama itaamua.

Siku hizi kila mtu akituhumiwa mnalaumu kwaiyo polisi station zifungwe au.

Ukosa akili huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…