Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Hawa Wana macho wanajua ilipotoka corona .Hizi ni elimu upati darasani.Ni elimu kuhusu ulimwengu usioonekana ambao ndio unaotawala ulimwengu unaonekana. Jpm aliijua Siri hii akasema watu waombe ikawork Tza atukuathirika sana. Hata Mimi sichanji sababu naijua Siri iliyo nyuma ya chanjo.Kama wewe unaamini hivyo hata Zumaridi, Gwajima na Mwamposya wana haki ya kuamini hivyo wanavyoamini.