Kama tuna-enjoy namna hii hapa duniani, mbinguni itakuwaje?

If God wanted us in heaven why did he create us on earth?

Huyo Mungu hakujua kwamba tunapaswa kuwa na maisha ya milele hukohuko mbinguni?

Kwa nini sasa atuumbe duniani kama alijua hapa si makao yetu ya milele?
 
If God wanted us in heaven why did he create us on earth?
Huyo Mungu hakujua kwamba tunapaswa kuwa na maisha ya milele hukohuko mbinguni?
Kwa nini sasa atuumbe duniani kama alijua hapa si makao yetu ya milele?
Una maswali mazuri sana. Inaonesha una nia ya kuujua ukweli. Iko hivi mkuu. Mungu alipoiumba dunia na wanadamu wa kwanza, maisha duniani yalikuwa "super duper". Imagine, Adam na Eva walipoumbwa waliishi mwanzoni bila mavazi na hawakujiona uchi hadi walipotenda dhambi. This means hakukuwa na baridi, joto, miiba wala wadudu wa kuwadhuru. Hata wanyama walikuwa marafiki wa binadamu. Adam na Eva walikuwa wameandaliwa tayari chakula katika bustani ya Eden. Maisha kama yangeendelea vile ingekuwa raha mustarehe mpaka leo. Shida ilikuja walipokwenda kinyume na agizo la Mungu. Walikula tunda walilokatazwa. Kuanzia hapo ndipo mabaya yote tunayoyaona leo yakaanza. Na kifo kikaingia. Ila sasa Mungu kwa upendo na huruma zake, ametuandalia makao mengine mapya mbinguni. Hii dunia ya sasa siku inakuja itachomwa moto. Wanaomwamini Yesu wataingia katika mbingu mpya isiyokuwa na mateso kamwe wala adha tunazoziona leo. Wasioamini watatupwa katika moto wa milele. I presume umenipata hadi hapo. Mambo yote hayo yameelezwa vizuri katika Biblia. I encourage you to read the Bible, chapter hata mbili kwa siku, utagundua mengi. Blessings!
 
Kwa nini huyo Mungu aliweka tunda ambalo alijua halitakiwi kuliwa?

Au alikuwa na nia ya kuwatega binadamu?
 
Ndiyo utumie picha za IA, kwanini usitumie picha halisi? Kwani na mbinguni kuna AI?
 
Kumbe pombe ni kinywaji cha peponi.
Je itakuwa ni larger, ciders, wine au spirits? Tujue ili tuanze kuchukua uzoefu wa kutosha, maana mpaka ikakuwa ni mito si mchezo. Just imagine river Nile yote iwe ni ulabu yaani hapo ni full kujichotea mpaka na kupiga mbizi probably. Misosi hawajatufafanulia hao mashehe itakuwa ni misosi gani? Mademu tunajua kila mtu atapewa 72 yaani King Mswati akasome. Wanawake nao vipi kila mmoja atapewa vijeba 72 au wao pepo haiwahusu? Mashehe hili hawajaliweka wazi.
 
Mungu hakujua kama hayo yatatokea, kama alijua swali linarudi palepalem kwanini hakutuumba moja kwa moja peponi kuepuka yote haya. Je Mungu alitutega kwa makusudi, madhumuni na faida ya kututega ni nini? Unawategaje watu ambao unawapenda?
 
Mungu hakujua kama hayo yatatokea, kama alijua swali linarudi palepalem kwanini hakutuumba moja kwa moja peponi kuepuka yote haya. Je Mungu alitutega kwa makusudi, madhumuni na faida ya kututega ni nini? Unawategaje watu ambao unawapenda?
Mungu hakutuumba tuwe kama maroboti. Alituumba tuwe watu wenye uhuru wa kuchagua (free will). Upendo wa kweli haulazimishwi. Kama angetuumba tuwe viumbe wa kukaa moja kwa moja peponi bila chaguo, tungekuwa kama mashine, tusingempenda kwa hiari.

Kuhusu “kujua kabla”: ndiyo, Mungu alijua kabla, lakini kujua kitu kitatokea sio sawa na kukisababisha. Mfano rahisi: mzazi anajua mtoto anaweza kuanguka akianza kutembea, lakini hamzuii kujifunza kutembea kwa sababu kutembea ndio nyenzo ya kumsababishia mtoto ukuaji.

Adamu na Hawa hawakutegwa, walipewa uhuru na onyo la wazi. Walikuwa na uwezo wa kuchagua mema, lakini wakachagua mabaya. Hapo Mungu hapaswi kulaumiwa.

Na hapo ndipo upendo wa Mungu unapoonekana wazi zaidi: hakutuacha kwenye matokeo ya dhambi, bali alianzisha mpango wa kutukomboa na kutuahidi maisha mapya ya raha na uzima wa milele.

Una swali jingine?

Cc: Infropreneur
 
Yes, I’m back, mtumishi wa BWANA. It’s all by God’s grace, and I’m grateful to be here again. Let’s keep growing together.
amina mtumushi ,mrembo wa yesu pokea upendo ❤️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…