Kama tuna-enjoy namna hii hapa duniani, mbinguni itakuwaje?

Umeona nini kwenye picha hizo ambacho hakifanyiki duniani?
Haujajibu swali, kutumia picha za AI that's being fake.
Kuhusu yanayofanyika duniani ni mengi mno so let's counter your AI images with what the majority are facing on daily basis.
 
Haujajibu swali langu, let me break it into two questions ili uelewe.
1 - Mungu alijua au hakujua kama Eva atadanganywa na nyoka na kula tundra?(whatever that 'tunda' represents)
2 - Kama hakujua je hana uwezo wa kuyajua yanayokuja kutokea?
2 - Kama alikuwa akijua fika na akaacha yatokee ili wakabiliwe na ugumu uliotokea baada ya hilo sakata la kula tunda it's obvious plan ilikuwa wapate maisha ya shida kama hakujua basi uwezo wake wa kujua ya mbeleni ni questionable.
3 - Je wanyama anawapenda equally? kwanini amefanya baadhi ya wanyama wawe chakula cha wanyama wengine, nao(prey) kosa lao ni nini to through all these?
4 - Mungu alijua kuwa 0ct,29th massacre yatatokea? Kwanini aliacha yatokee na majority ya waliouawa kuzikwa kwenye mass graves?
5 - Mungu anauwezo wa kuzuia mtu asiteswe, asipelekwe utumwani, mtoto asibakwe, innocent children wasiuawe? Kama anao na anajua fika yatatokea lengo lake ni nini kuyaacha yatokee? Kama hafahamu au anafahamu ila hana uwezo wa kuwazuia uwezo wake unaishiwa kwenye level ipi?

NB: Maswali yako very straightforward hivyo na majibu yawe straightforward without unnecessary details.
 
Kwani mimi nimezungumzia majority? Mimi nimesema kama tuna-enjoy namna hii...
Picha nilizoweka ni mifano tu ya watu wengi sehemu mbalimbali duniani, wanao-enjoy maisha kwa kula kuku na kuendesha magari mazuri.

Sasa na mimi naku-challenge: weka picha za watoto kutoka katika nchi hizi: Finland, Denmark, Iceland, Switzerland, Netherlands, Sweden, Norway, Luxembourg, New Zealand na Austria tuone kama zitafanana na hizo picha ulizoweka.
 
Kama haipo kwanini Yesu alitengeneza kwenye harusi ya Kana?
Yesu hakutengeneza pombe kwenye harusi ya Kana.
Soma mada hii upate ufafanuzi:
 
anatakiwa aende taratibu sio😊
 
Majibu ya maswali yako ni haya...
1. Alijua.
2. Anajua yajayo. Hana upungufu wowote kuhusu uwezo wake.
3. Hapana. Aliruhusu, lakini hakusababisha. Sababu niliishakuambia, aliwapa uhuru wa kuchagua.
4. Ndiyo, lakini maisha ya wanyama tunayoyaona sasa ni matokeo ya ulimwengu ulioharibika baada ya dhambi kuingia. Haikuwa hivyo mwanzoni. Mwanzoni wanyama wote walikaa pamoja kwa amani
5. Ndiyo, Mungu anayajua kabla na ana uwezo wa kuyazuia. Lakini mara nyingi haingilii kila wakati kwa sababu kama nilivyosema awali, ameweka kanuni ya uhuru wa kuchagua mema au mabaya. Akiingilia kila uovu papo hapo, uhuru huo utakuwa umekoma. Isitoshe atatoa hukumu ya haki siku ya mwisho. Hakuna mtenda uovu atakayebaki salama
 
ipo wazi mtumishi

hawa vijana wanakuelewa lakini mtumishi ,kuna kundi kubwa humu wale wasioamini Mungu yupo
Mdogo mdogo neema ya Mungu itawafikia na wao watamwamini Mungu.
 
Mmh, dunia ni tam kwa baadhi lakini kwa wengi ni chungu. Linganisha hizo picha za raha na picha za magofu na vifusi huko Mashariki ya Kati, na watoto wasiojua watalala wapi au watakula nini leo.
Yesu alienda kutuandalia makao mapya. Katika makao hayo hakutakuwa na dhiki tena wala machozi
 
Za kuambiwa changanyana na za kwako...

Mbinguni ni empty space hakuna chochote...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…