William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Imani ya Deep state imekuwa sana. Maana ya Taifa kuwa chini ya watu wasiojulikana(deep state) liko nje ya uwezo wa Raisi.
Inaaminika ata tawala za ulaya zipo chini ya deep state.
Kwanini nasema hivyo. Moja vaa viatu vyake.
Deep state ni kama Shetani mkuu. Atakupandisha juu ya mlima mrefu. Atakuonesha fahari zote za dunia. Kisha atakuamuru umuabudu na kufanya atakacho ili uvitawale vyote. Wataipa familia yako yote ela. Watampa mkeo nafasi nzuri watakupa vyeo vyote ila mamlaka watabaki nayo. Hutakuwa na mamlaka kabisa ila kila cheo ukitakacho utapewa.
Kama yule kapteni anaamini kuhusu deep state kwanini anamlaumu Mama. Sasa afanyeje.
Akubali kupoteza kilakitu hadi uhai tu.
Deep state huteka mtoto, mke, ndugu wa karibu. Miradi ya watu wa deep state hupewa majina watoto wa raisi.
Mama aliahidi kabisa yeye ni mwislamu safi na hawezi kudhulumu. Kama unaongozwa utafanya nini.
Binafsi sijuii vizuri lakini tuepuke sana utengano wa kitaifa. Lazima tuwe wamoja. Taifa moja. Tunaweza kuwa na mawazo tofauti lkn kwenye maswala ya kitaifa tushirikiane