William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Hapo ninamuona Shujaa Hamza juu Bhagalashea Chini kavaa raba za Jordan 1 humu tu AK mkononiFuvu liki kazwa hiyo tarehe 29 ni humuuu tuuView attachment 3484100
Nenda kausome uzi wa yoga Dark Days soma mpaka pale alipoishia baada ya kupigwa biti aache kusimulia mambo yao na baada ya hapo hatukuwahi kumuona tena humu alipotea, utakua newcomer sio kosa lakoAmna cha deep state wala nn sema sa% anapozwa na mashoga zake tu. Tokea mwaza angesimama yy kam yey full stop. Mungu amsaidie inshallah!!
hiyo tarehe 29 mzee baba 🔥🔥Hapo ninamuona Shujaa Hamza juu Bhagalashea Chini kavaa raba za Jordan 1 humu tu AK mkononi
Hii ni wapi Njombe au Makete?hiyo tarehe 29 mzee baba 🔥🔥
View attachment 3484110
Hii ninetumiwa tu mkuu, sema askari nongwa wasije wasaka kuwapoteza.. maana wameishakuwa kama wanyamaHii ni wapi Njombe au Makete?
UsiogopeHii ninetumiwa tu mkuu, sema askari nongwa wasije wasaka kuwapoteza.. maana wameishakuwa kama wanyama
Kwa huu ushuzi uliouandika hapa, nashauri uteme mate kwa Afya yako Ili kujikinga na ugonjwa hatari wa kipindupinduImani ya Deep state imekuwa sana. Maana ya Taifa kuwa chini ya watu wasiojulikana(deep state) liko nje ya uwezo wa Raisi.
Inaaminika ata tawala za ulaya zipo chini ya deep state.
Kwanini nasema hivyo. Moja vaa viatu vyake.
Deep state ni kama Shetani mkuu. Atakupandisha juu ya mlima mrefu. Atakuonesha fahari zote za dunia. Kisha atakuamuru umuabudu na kufanya atakacho ili uvitawale vyote. Wataipa familia yako yote ela. Watampa mkeo nafasi nzuri watakupa vyeo vyote ila mamlaka watabaki nayo. Hutakuwa na mamlaka kabisa ila kila cheo ukitakacho utapewa.
Kama yule kapteni anaamini kuhusu deep state kwanini anamlaumu Mama. Sasa afanyeje.
Akubali kupoteza kilakitu hadi uhai tu.
Deep state huteka mtoto, mke, ndugu wa karibu. Miradi ya watu wa deep state hupewa majina watoto wa raisi.
Mama aliahidi kabisa yeye ni mwislamu safi na hawezi kudhulumu. Kama unaongozwa utafanya nini.
Binafsi sijuii vizuri lakini tuepuke sana utengano wa kitaifa. Lazima tuwe wamoja. Taifa moja. Tunaweza kuwa na mawazo tofauti lkn kwenye maswala ya kitaifa tushirikiane
Unabadilisha vipi wakati labda na yeye anatishwa kuliko ata wewe uko.Too late. Alikuwa na nafasi ya kubadilisha mambo ila akaishia kututukania katiba yetu.