Kama tunaaminishwa kuwa Mungu hakosei inakuwaje hakuna kiumbe mkamilifu chini ya jua?

Msamehe tuu,, btw huyo ni DAWA mwenzio
 
Maswala ya imani achana nayo,utaumiza kichwa bure
 
Tofautisha Kati ya kukosea na kukamilika mfano nyumba inaweza ikakamilika lakini imekosewa.

Kukosea ni mapengufu mfano injinia Aliyejenga nyumba sio mzoefu.

Kukamilika na kutokukamilika ni mtu alivyopanga, mfano unaweza kuamua kujenga ghorofa lenye urefu wa ghorofa 11 lakini lilipo fikisha ghorofa 8 ukaanza kulotumia lakini juu kabisa kuna nondo zinazozihirisha kwamba linamuendelezo, hivyobasi ghorofa hili litakuwa lijakamilika lakini lijakosewa limrjengwa kama lilivyopangwa.

Hitimisho
Kutokuweza kutofautisha vitu hivi viwili ndio tatizo Lako.
 
Perfection of the creator can only be seen from imperfections from his creatures
 
Mwenyezi Mungu amewaumba wanadamu ili wakamilishane. Katika kuufikia huo ukamilifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…