EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Mkuu kipi kimekufanya unihusishanishe na Green ZombiesMkuu, malizeni kwanza matatizo yenu mapema, naskia wanachama wamestukia dili lililofanyika dodoma, wanasema ule ni uhuni hawakubali, kama bwai na iwe bwai ni bora bakuli la mboga limwagike chini mlale njaa wote.
Wakati Lisu aliwaambia Makao makuu kuna pesa kibao zinaliwa na MboweWanachama hai watachangia chama hata kama ruzuku haitoshi!
kumuua sio rahisi. anatazamwa na watu wengu na mataifa mengi pia. so sio rahisiWatamuua, juzi walimzushia ajali mbaya na hatukuona TCRA wala Msigwa anakemea
Wenye Chama ndio Sisi na kaka yangu Mzee Mgaya 🐼Ule mkutano ulibakwa, wenye chama chao wamekuja juu...hapakaliki.
Hapa Makambako Wakinga wa Chadema wamejenga Ghorofa Kwa michango yao tu 😀Wakati Lisu aliwaambia Makao makuu kuna pesa kibao zinaliwa na Mbowe
Kuwaambia wachangie patachimbika
Inawezekekana pesa ipo ya kuendesha chama kama kilivyokuwa ila ukianza kufungua matawi mapya lazima kuna gharama zitaongezekaWakati Lisu aliwaambia Makao makuu kuna pesa kibao zinaliwa na Mbowe
Kuwaambia wachangie patachimbika
Ilikuwa wakati wa Lowasa na Sumaye wakiwa ChademaHapa Makambako Wakinga wa Chadema wamejenga Ghorofa Kwa michango yao tu 😀
Hujui kituMhisani mkuu wa Chadema alikuwa Mbowe usisahau hilo kabla yake alikuwa mzee Ndesamburo
Mwamba hana Mfuko huoNendeni tu polepole
Ipo siku mtajua kuwa mwamba alikuwa anatoa zake za mfukoni kukisukuma chama
Ni CCM tuu ambapo utaalamu/ubobevu umewekwa kando na nchi kuendeshwa kisiasa zaidi.Uchumi wa Tanzania unaendeshwa na Siasa ndio sababu unawaona Prof Kitila na Kafulila hawana ubobevu wowote kwenye Uchumi lakini ndio vinara wa maamuzi ya Kiuchumi na Prof Lipumba Mbobezi wa Uchumi anayetambuliwa hadi na Israel Taifa teule la Mungu ni mwenyekiti wa Chama Kichovu cha Siasa
Ushauri wako nitauzingatia na nitaanza kuishauri serikali hasa vijana Wetu wa TRA na Tamisemi
Nimekuelewa sanaNi CCM tuu ambapo utaalamu/ubobevu umewekwa kando na nchi kuendeshwa kisiasa zaidi.
Hembu fanya jambo ili hata baadae ukumbukwe kwa kusaidia tuondokane na siasa kutamalaki badala ya weledi,taaluma na ubobevu.
Ndiyo utaratibu huo?Mbowe alitoa mfukoni mwake pesa za kuendesha chama
UWT hujui chochote kaa kimyaMhisani mkuu wa Chadema alikuwa Mbowe usisahau hilo kabla yake alikuwa mzee Ndesamburo
CCM hawashindwi, Dictetor Magu yupo wapi?kumuua sio rahisi. anatazamwa na watu wengu na mataifa mengi pia. so sio rahisi
Exactly, 500,000/= si haba, hata kama chini ya hapo, maana lazima na HQ wabaki na chochote, haitakuwa na afya wakipeleka majimboni pesa yote kisha wao wabaki wanpiga miayo!Ruzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.
Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Sorry, kwani wameshaweka akaunti ya kutuma mchango?? Iweke hapa niwasapoti hata elfu 50...Ndani ya CCM katika Watu waliopikwa na Chama na kuiva vizuri hakunaga wa kumshinda Mzee Kikwete, akifuatiwa na Dr SheIn kisha Dr Nchimbi na Ndio sababu hata Mzee Mgaya wa CCM huwa anazipa uzito mkubwa kauli za Mzee Kikwete
Tundu Antipas Lisu Mwenyekiti Mpya wa Chadema aliahidi atashusha Ruzuku hadi kwenye level ya Msingi Ili kukiimarisha Chama na Kuna dalili Mpango huo umeanza na account za bank zinafunguliwa Kwa Fujo matawini
Lisu akifanikisha hili Chadema haitakuwa adui mdogo tena mbele ya CCM hivyo Chama tawala kiache Kuishi Kwa kukariri
Mambo yanabadilika Kwa Kasi sana huku Kagame akiwa siyo mdogo tena 😄
Nimejikuta nacheka sana na comment yako, ccm dawa yao inachemkaPolepole ndio mwendo.
Kumbuka kuna wafadhili pia.
Hiki chama hatupaswi kukichukulia poa.
Kinaweza kutudhalilisha.
Sasa laki 5 kwa mwezi si posho ya mtu mmoja hii?Ruzuku ya chadema ni milioni 107.
Tuna majimbo 214 ya uchaguzi.
Kila jambo litapewa laki tano. Kwa mwezi.
Hapo sijaweka gharama za utawala makao makuu..
Kwa ruzuku hii haitoshi.
Unajitekenya na kujichekesha mwenyewe kwa ushuhuda hewa watu waingie mkenge wakati hata mia hutachangaSorry, kwani wameshaweka akaunti ya kutuma mchango?? Iweke hapa niwasapoti hata elfu 50...