Uchaguzi 2020 Kama tungekuwa na uchaguzi wa Rais wa Dunia, Magufuli angeshinda asubuhi!

Dah hivi uko serious au unatania mkuu... Nchi ambayo mpaka sasa kuna watu wanatembea mamilioni ya KM kusaka maji? Nchi ambayo ina rasilimali za kutosha lakini bado GDP yake inazidiwa na ka nchi kama Kenya? GDP ya Kenya ni 92 bills dollars ya tz 66.
Wakati South Korea wakiongelea kuhusu kuweka hubs za kuchaji simu kwa ajili ya watu wao mtaani sisi bado hata kila kaya kuwa na bima ya afya bado.
Inawezekanaje raisi wa dunia atoke kwenye nchi kama hii, kama nchi yake tu imemshinda dunia ataiweza?
 
Aki ya Nani jamii forumn vituko haviishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zoë
 
Ambaye angemsumbua Rais Magufuli kwenye Uchaguzi labda yule mama wa ujerumani tu
Ahaahaa mshamba huyu urais wake unaishia chattle hajaweza hata kwenda nje ya nchi kwa ushamba alionao na kiingereza cha kilugha, kweli mataga mmelewa ugali.
 
Aise yaani mtu hata akishindana n shilole kama kuna tume huru hata 10% hawezi kupata
 
The highest point of stupidity from Tanzanian citizen.
Kuna kila sababu za kuhama forum hii ya JF maana ile slogan ya "The home of great thinkers" imepoteza maana na sasa imekuwa House of mazwazwa watupu.
Na kwa vile kuna usemi usemau "NEVER ARGUE WITH A FOOL people might not notice the difference" sasa ni wazi kwa uvamizi huu wa "fools" na kwa vile wao wako ajirani wanakuja kwa kasi basi mijadala inashindwa kutofautisha nani ni nani.
Pole sana Max Mello kwa wazo lako bora kabisa la kuanzisha JF kuhujumiwa. Uliheshimu Uhuru wa mawazo sio uharo wa mawazo kama ilivyo sasa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…