Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Nyie mnajitahidi kujitoa ufahamuAmbaye angemsumbua Rais Magufuli kwenye Uchaguzi labda yule mama wa ujerumani tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mnajitahidi kujitoa ufahamuAmbaye angemsumbua Rais Magufuli kwenye Uchaguzi labda yule mama wa ujerumani tu
Hivi wewe kwa akili yako unadhani watu wenye akili timamu wanamsikiliza huyo dictator Magufuli. Endelea kudanganywa na TBC kiswahili. Hana hata quality ya kuitwa a world leader. Panua mawazo yakoWe unaishi dunia gani?
Akileta huo mfano nitag plzMifano tafadhali
BBC, DW ni Africa?Unaposema dunia inafuatilia? Unamaanisha marais wote wanaangalia? Unamaanisha wananchi wa dunia nzima wanaangalia?
Tell you what .. mm sio politician wala sina mfungamano na chama chochote cha siasa...but to be honest ,statement yako ni statement isiyo na mashiko.
Why? Wenzetu wanashida zao.. why wa pay attention to tz? What for?
Labda useme nchi za afrika. Lakin si dunia aisee.. hiyo ni overrated statement bro.
Angalia video ya rais Magufuli akiwa south Africa watu walivyolipuka kwa shangweHahaha ... video gani hiyo? Na wananchi wa nchi gani wenye muda huo?
And pls usinitajie nchi za afrika. Nataka nje ya afrika.
Mi nafikiria tu syo kura angeomba kwa lugha gani
Tena mleta uzi wakati anaandika huu uzi, wazazi walisahau kumvalisha hata nepiMtu anasifia hadi anapitiliza mpaka anamuudhi huyo anayepewa hizo sifa
Ndio, angeshinda kwa asilimia 99 endapo uchaguzi ungesimamiwa time yetuya uchaguziHabari wana jukwaa.
Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi na mapema na kutawazwa kuwa rais wa dunia.
Rais Magufuli tangu achaguliwe kuwa rais wa Tanzania mwaka 2015 amekuwa akiwaburuza mno marais wenzake kote duniani! Hali hii ilipelekea msomi nguli kutoka Kenya prof Lumumba abatize shughuli na harakati zote za maendeleo za wa Afrika kuwa ni Magufulication of Afrika!
Si Trump, Angel Merkel ,Kagame ,Kenyatta au Putin wote Magufuli amewaburuza kwenye janga la Corona na raia wa nchi zao wanataka Magufuli ndiyo aende akatawale huko.
Kwa sasa Magufuli ni wa kushindanishwa na dunia na siyo hutu tukikaragosi twa mabeberu tu Tundu Lisu.
You are useless hu!Habari wana jukwaa.

Umefua boxer za wanene wa ufipa?Mbwa ww kojoa kalale....labda dunia kwako ni sawa na jamhuri ya watu wa chato
NonsenseHabari wana jukwaa.
Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi na mapema na kutawazwa kuwa rais wa dunia.
Rais Magufuli tangu achaguliwe kuwa rais wa Tanzania mwaka 2015 amekuwa akiwaburuza mno marais wenzake kote duniani! Hali hii ilipelekea msomi nguli kutoka Kenya prof Lumumba abatize shughuli na harakati zote za maendeleo za wa Afrika kuwa ni Magufulication of Afrika!
Si Trump, Angel Merkel ,Kagame ,Kenyatta au Putin wote Magufuli amewaburuza kwenye janga la Corona na raia wa nchi zao wanataka Magufuli ndiyo aende akatawale huko.
Kwa sasa Magufuli ni wa kushindanishwa na dunia na siyo hutu tukikaragosi twa mabeberu tu Tundu Lisu.
Katandikie wanene wa ufipa huko ili mkono wako upate kwenda kinywaniNonsense
HIV-associated Neurocognitive disorder! 😛 😛Virusi vya ukimwi vina tabia ya kufubaisha ufahamu wa mtu sawia na kinga mwili, inaonekana wewe na yule radio (Dwarf) wa Dodoma virusi vya ukimwi vimeshawafubaisha uwezo wa kufikiri na kutafakari!