Uchaguzi 2020 Kama tungekuwa na uchaguzi wa Rais wa Dunia, Magufuli angeshinda asubuhi!

Habari wana jukwaa.

Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi na mapema na kutawazwa kuwa rais wa dunia.

Rais Magufuli tangu achaguliwe kuwa rais wa Tanzania mwaka 2015 amekuwa akiwaburuza mno marais wenzake kote duniani! Hali hii ilipelekea msomi nguli kutoka Kenya prof Lumumba abatize shughuli na harakati zote za maendeleo za wa Afrika kuwa ni Magufulication of Afrika!

Si Trump, Angel Merkel ,Kagame ,Kenyatta au Putin wote Magufuli amewaburuza kwenye janga la Corona na raia wa nchi zao wanataka Magufuli ndiyo aende akatawale huko.

Kwa sasa Magufuli ni wa kushindanishwa na dunia na siyo hutu tukikaragosi twa mabeberu tu Tundu Lisu.
Outlandish claims like these make Elitwege's stupidity shine!
 
Leo nilipanda daladala ya kutoka kibaha kuja Dar es salaam na wananchi wakasikika wakisema mengi kuhusu John Pombe Magufuli na mmoja akasema
".... kweli pesa za bure hakuna ila huyu baba Mungu ambariki sana, yaani mjukuu wangu kafanyiwa upasuaji wa moyo na amepona na sikua hata na laki1... mwingine akamjibu siku hizi madaktari bingwa wanapewa commission kwenye kila mgonjwa wanayemhudumia tena hata kupitia NHIF, unakuta mwisho wa mwezi Dr anapata hadi 4M nje ya mshahara..." wananchi wengi kwenye Ile gari walikua wakimpongeza rais kwa kutaja mafanikio tofauti huku wengine wakisema karudisha heshma ya nchi mahala pake
Nikajisemea moyoni sasa serikali inafanya kazi yake kwa wananchi maskini walio wengi ila waliokua na maslahi upande wa wachache watamchukia sanaa.
Hospitali binafsi zisipobadilika kutoka kwenye biashara ya kutengngeneza faida maradufu na kuanza kutoa huduma za kijamaii katika gharama za kawaida zitakazowawezesha kujiendesha zinaenda kupotea
Elitwege
 
Kwahiyo Tanzania tuna rahisi wa dunia.!???

Tunaomba report ya utafiti tufanye analysis
 
Kweli mkuu hili janga la corona ni kama mtihani uliokuja kupima kiongozi gani mwenye maono makubwa, na hapa ndipo Mungu amepima vizuri imani ya mwanadamu maana kuna watu wamepinga hata kumuomba Mungu wakaamua kujifungia wakiamini corona haitawafikia yaani corona imeumbua hadi baadhi ya viongozi wa dini na hata mataifa yaliyotuletea dini.

Kusema ukweli Magufuli ni kiongozi aliyeletwa na Mungu kwa kusudi ya kulikomboa hili taifa kupitia janga la corona hili limejidhihirisha na nina imani kubwa kupitia JPM taifa hili litajikomboa kiuchumi soon.
 
Habari wana jukwaa.

Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi na mapema na kutawazwa kuwa rais wa dunia.

Rais Magufuli tangu achaguliwe kuwa rais wa Tanzania mwaka 2015 amekuwa akiwaburuza mno marais wenzake kote duniani! Hali hii ilipelekea msomi nguli kutoka Kenya prof Lumumba abatize shughuli na harakati zote za maendeleo za wa Afrika kuwa ni Magufulication of Afrika!

Si Trump, Angel Merkel ,Kagame ,Kenyatta au Putin wote Magufuli amewaburuza kwenye janga la Corona na raia wa nchi zao wanataka Magufuli ndiyo aende akatawale huko.

Kwa sasa Magufuli ni wa kushindanishwa na dunia na siyo hutu tukikaragosi twa mabeberu tu Tundu Lisu.
(Kwa sasa Magufuli ni wa kushindanishwa na dunia na siyo hutu tukikaragosi twa mabeberu tu Tundu Lisu.)

Hahaahaha [emoji23]

Aki umenichekesha Sana...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jukwaa.

Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi na mapema na kutawazwa kuwa rais wa dunia.

Rais Magufuli tangu achaguliwe kuwa rais wa Tanzania mwaka 2015 amekuwa akiwaburuza mno marais wenzake kote duniani! Hali hii ilipelekea msomi nguli kutoka Kenya prof Lumumba abatize shughuli na harakati zote za maendeleo za wa Afrika kuwa ni Magufulication of Afrika!

Si Trump, Angel Merkel ,Kagame ,Kenyatta au Putin wote Magufuli amewaburuza kwenye janga la Corona na raia wa nchi zao wanataka Magufuli ndiyo aende akatawale huko.

Kwa sasa Magufuli ni wa kushindanishwa na dunia na siyo hutu tukikaragosi twa mabeberu tu Tundu Lisu.
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.
 
Habari wana jukwaa.

Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi na mapema na kutawazwa kuwa rais wa dunia.

Rais Magufuli tangu achaguliwe kuwa rais wa Tanzania mwaka 2015 amekuwa akiwaburuza mno marais wenzake kote duniani! Hali hii ilipelekea msomi nguli kutoka Kenya prof Lumumba abatize shughuli na harakati zote za maendeleo za wa Afrika kuwa ni Magufulication of Afrika!

Si Trump, Angel Merkel ,Kagame ,Kenyatta au Putin wote Magufuli amewaburuza kwenye janga la Corona na raia wa nchi zao wanataka Magufuli ndiyo aende akatawale huko.

Kwa sasa Magufuli ni wa kushindanishwa na dunia na siyo hutu tukikaragosi twa mabeberu tu Tundu Lisu.
Dunia ipi wakati tunaogopa mpaka BBC radio!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akili za watanzania wanazijua wenyewe
 
Capture.JPG
 
Kama Mbowe alianguka mwenyewe kwa ulevi wake alafu akatangaza amepigwa na wasiojulikana ili apate kiki ,hata hizo ofisi zimechomwa na Chadema ili wapate kiki vizuri.

Unamwongelea Mbowe au Magufuli!!??
 
Yaani kuna Marasi kweli kweli kama wa Ghana ambaye haugopi mdahalo huyu wa kupiga wanasheria risasi!! ni mzuri kwa kiki zetu lakini ana mapungufu mengi sana
Midahalo ya kipuuzi ya kina Tundu Lisu haifai kabisa
 
MWAMBA TUNDU LISSU ATEULIWA kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Sasa mjiandae na kupiga push-ups jukwaani.
 
Habari wana jukwaa.

Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi na mapema na kutawazwa kuwa rais wa dunia.

Rais Magufuli tangu achaguliwe kuwa rais wa Tanzania mwaka 2015 amekuwa akiwaburuza mno marais wenzake kote duniani! Hali hii ilipelekea msomi nguli kutoka Kenya prof Lumumba abatize shughuli na harakati zote za maendeleo za wa Afrika kuwa ni Magufulication of Afrika!

Si Trump, Angel Merkel ,Kagame ,Kenyatta au Putin wote Magufuli amewaburuza kwenye janga la Corona na raia wa nchi zao wanataka Magufuli ndiyo aende akatawale huko.

Kwa sasa Magufuli ni wa kushindanishwa na dunia na siyo hutu tukikaragosi twa mabeberu tu Tundu Lisu.
Huo uraisi wa dunia atakampenia kwa lugha gani??!
 
Kweli kabisa kwa aliyotenda magufuli katika nchi hiii alitakiwa kupita bila kupingwa........ni watu tuu wanataka kupoteza muda
 
Ikiwa keshatwambia kwamba atakuwa Raisi wetu mbinguni atashindwaje kuwa raisi wa dunia?
 
Back
Top Bottom