Uchaguzi 2020 Kama tungekuwa na uchaguzi wa Rais wa Dunia, Magufuli angeshinda asubuhi!

Habari wana jukwaa.

Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi na mapema na kutawazwa kuwa rais wa dunia.

Rais Magufuli tangu achaguliwe kuwa rais wa Tanzania mwaka 2015 amekuwa akiwaburuza mno marais wenzake kote duniani! Hali hii ilipelekea msomi nguli kutoka Kenya prof Lumumba abatize shughuli na harakati zote za maendeleo za wa Afrika kuwa ni Magufulication of Afrika!

Si Trump, Angel Merkel ,Kagame ,Kenyatta au Putin wote Magufuli amewaburuza kwenye janga la Corona na raia wa nchi zao wanataka Magufuli ndiyo aende akatawale huko.

Kwa sasa Magufuli ni wa kushindanishwa na dunia na siyo hutu tukikaragosi twa mabeberu tu Tundu Lisu.
KAMA NI "KUTAWAZWA MARINDA" HANA MPINZANI. Ila kama ni uongozi jidanganyeni.
 
Ushalewa wanzuki
 
Kwa uchaguzi wa haki na ulio huru hawezi kushinda hata kuwa mwenyekiti wa kijiji.
 
Kama mtu anaweza kuangushwa na konyagi alafu akatangazia dunia ameangushwa na wasiojulikana bila shaka hawezi kushindwa kutunga orodha feki ya watu kupita bila kupingwa.
 
Kwani na huko kuna policcm na Tumeccm!
Kama hakuna atagalagazwa hata na Pierre Liquid saa 2 asubuhi.

Jiwe bila policcm na NEC-ccm hawezi hata kufikisha nusu ya kura za Hashim Rungwe Spunda Mzee wa ubwabwa.
 
Mashabiki wa Simba wana uelewa mdogo sana hawana utofauti na mashabiki wa Chadema yanaibiwa huku yanashangilia tu kama mazuzu.
 
Habari wana jukwaa.

Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi na mapema na kutawazwa kuwa rais wa dunia.

Rais Magufuli tangu achaguliwe kuwa rais wa Tanzania mwaka 2015 amekuwa akiwaburuza mno marais wenzake kote duniani! Hali hii ilipelekea msomi nguli kutoka Kenya prof Lumumba abatize shughuli na harakati zote za maendeleo za wa Afrika kuwa ni Magufulication of Afrika!

Si Trump, Angel Merkel ,Kagame ,Kenyatta au Putin wote Magufuli amewaburuza kwenye janga la Corona na raia wa nchi zao wanataka Magufuli ndiyo aende akatawale huko.

Kwa sasa Magufuli ni wa kushindanishwa na dunia na siyo hutu tukikaragosi twa mabeberu tu Tundu Lisu.
Kuna wakati nawaza sana nikisoma post na comment za humu ndani.Kwanza nawaza ya kuwa inaweza nashiriki mijadala na watu ambao ki umri na kiuelewa tonatofautiana sana.La pili nawaza ya kuwa inawezekana historia haifundishwi na pia watu wengi hawana uwezo wa kutafuta habari kutoka vyanzo vingine.
Magufuli amefanya mambo mazuri sana lakini kumfanya kuwa unique ni unafiki uliopitiliza.Nakupa mifano kidogo tu,
NYERERE:kutaifisha njia kuu zote za uchumi zilizokuwa zinamilikiwa na mabepari (tena nchi ikiwa changa).Alijenga viwanda-Urafiki,Kilimanjaro Machine tools,Mwatex,Musoma tex,Zana za kilimo Mbeya na Dar,barabara za lami list inaendelea
Ni kipi ambacho Magufuli kafanya ambacho hakijafanywa na Nyerere?
Tumpende Magufuli lakini unafiki tunaofanya hautamsaidia yeye wala nchi yetu!!
 
Ambaye angemsumbua Rais Magufuli kwenye Uchaguzi labda yule mama wa Ujerumani tu
Nitajie kitu kimoja cha maana alicho fanya kumzidi Uhuru Kenyatta au alicho mzidi mkuu Wa shule yangu? nyie malofa mtufanye sisi wajinga.
 
Chief wengine tunakula muda huu usitutapishe please!!
Hata yeye mwenyewe anajua kuwa bila polisi, Takukuru, na Jeshi asilimia 15 ya kura zote asingepata. Wamemkataa mpaka kwao kwasababu wanajua ni kiongozi fake, wewe unatuletea utumbo wako hapa.
 
Back
Top Bottom