Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Wanangu wapendwa,
Je kama tungetakiwa wabongo tupige kura kupitisha au kuupiga chini mkataba wa bandari, wapi ungeeelekeza kura yako? Kama itawafurahisha hasa ikizingatiwa kuwa inatoka kwa baba yeni, pigeni kura kuonyesha nini kifanyike.
Maaskofu wa dhehebu moja linalosifika kwa ubakaji na uporaji ardhi wametoa msimamo wao juzi. Nami baba yenu sitaki kupitwa na mambo. Naomba mpige kura katika hili tafadhali. Japo sina namba ya likulu, nitajitahidi kumfikishia matokeo mama yenu kadri nitakavyoweza kumfikisha.