Kama tungeuza sana bidhaa nje ya nchi tungepata dola nyingi sana, sarafu yetu ingeimarika kuliko ya Kenya

Wew binafs unauza nn nje. ?
 
Acha maneno matupu weka fact mwenzio hajui sasa mfundishe sio unaleta story …au ndio umemaliza form six au chuo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hao ndio aina ya watu wanao kariri madaftari!
 
Tulikua hatununui chochote nje
Export ilikuwa kuwa kubwa kuliko awamu yeyote tanzania ...... kulikuwa na viwanda hai vingi vikiwa chini ya serikali ...mwaka 1982 vilianza kuyumba.... sera za ujamaa zikaanza kuyumba pia kutokana na chief financier ambaye alikuwa SOVIET UNION sasa russia kuanza kupata misukosuko ya ndani ....tukaanza kukosa pesa za kufinance viwanda vya kijamaa

China wakati huo alikuwa nae anatusapoti ila nae akaingia kwenye mabadiliko makubwa mwaka huo huo kwenda mixed economy

So jibu kubwa ni Export ilikuwa kubwa kuliko import
 
Safi sana mkuu kila kitu kipo wazi. Ukweli lazima usemwe. Wewe huwezi ukawa mtu wa shopping tu hata kwenye familia lazima uchumi wako uyumbe tu. Fanya shopping wakati huohuo zalisha nawewe uza. Lakini ni vizuri zaidi uuze kuliko kununua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…