Unaposoma maandiko jifunze na kusoma psychology za waandishi usije ukadhani sijui kinachotokea TANOIL niliandika vile makusudi ili nifikishe ujumbe wa kile nilicholenga. Na najua niliandika kwenye sentensi moja kile ulichotaka niandike ila hukukiona.
Hapa nilipo sasa nafanya hiyo biashara ya fedha za kigeni. Fluctuations naiona kila siku sokoni. Lakini pia nafanya biashara ya kuimport. Uchumi najifunzia kwenye biashara sio darasani.
Nikisema thamani ya shillingi inashuka mimi naiona kabisa sokoni ninapo badilisha Tsh kwenda fedha ya kigeni Na sababu naiona hadharani. Sasa wewe subiri BOT wakueleze au waziri wa fedha akueleze.