MjukuWaBabu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 456
- 721
Mishangazi inakufanya upotee kwenu sio hao wa 2000 wanakufanya uote kipara kati kama mwehu mamaza…o🤣🤣Kitumbua inabana balaa sio kama zile za MISHANGAZI zinazo nyampaaa...
Si umemsaidia mumewe kuweka njia sawa🤣🤣Kumbe kinachumbiwa na very soon kinaolewaaaa dah......
Oyaaa sijakuelewa point yako... Lakini ujue nilizamishwa na kweli nikazama... Sio kwa utamu wa yule mtoto... Kilichonikuta, nikupigwa na kitu kizito.Hakuna kitu kizuri kama chapaa, ulisikia wapi ukiitwa domo zege au kunyimwa kisusio na Ke yeyote duniani?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Oyaaa... Ujue mie nilijua ntaendelea kukapakua kama mwaka na zaidi.... Sasa nimenyang'angwa tonge mdomoni. Too painful to bear manSi umemsaidia mumewe kuweka njia sawa🤣🤣
Si umemsaidia mumewe kuweka njia sawa🤣🤣
Itabidi nibanane na uyuu mchumba anaye oa. Nitakuwa namsaidia kula naye.Mishangazi inakufanya upotee kwenu sio hao wa 2000 wanakufanya uote kipara kati kama mwehu mamaza…o🤣🤣
Kemea hilo pepo, Linda Malinda yako kwa uchungu..... maana sisi tutakuwepo hapa kukupa pole✍️Itabidi nibanane na uyuu mchumba anaye oa. Nitakuwa namsaidia kula naye.
We nyumbu si ulisema umeokoka??Hakuna kitu kizuri kama chapaa, ulisikia wapi ukiitwa domo zege au kunyimwa kisusio na Ke yeyote duniani?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Oyaaa marinda afumuliwi mtuu... Nyara za umma hizi. 🏃🏃🏃🏃Kemea hilo pepo, Linda Malinda yako kwa uchungu..... maana sisi tutakuwepo hapa kukupa pole✍️
Hiyo siku ndo utagundua hata wewe ni mtamu sana na wahuni hawawez ishi bila wewe😂
🤣🤣🤣🤣 Haya ni maneno, wokovu hupimwa kwa matendo.We nyumbu si ulisema umeokoka??
P diddy oil itakuhusu mwana akijua unamlia mkewe🤣Itabidi nibanane na uyuu mchumba anaye oa. Nitakuwa namsaidia kula naye.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 TutabanjuanaP diddy oil itakuhusu mwana akijua unamlia mkewe🤣
itabidi nilambe matapishi tuu, mishangazi ndio last option.Pole tafuta mshangazi hawanaga tabu
Lishangazi lenyewe si ndio wewe hapo sasa mkubalie tu🤣Pole tafuta mshangazi hawanaga tabu
Yeye anakufaa kabisa mkuu😂itabidi nilambe matapishi tuu, mishangazi ndio last option.
Oyaa mswala ya kupima yametoka wapi sasa.... HiiiiiUkienda kupima ukakuta majibu yako yanarodhisha rudi kapime tena baada ya miezi 3
Watoto wa elfu 2 hawa hawa, usikute mlikuwa wengi sana hamjuani
few options 🤣Lishangazi lenyewe si ndio wewe hapo sasa mkubalie tu🤣
Yeye anakufaa kabisa mkuu😂
Anibless tuu kiroho swafii 🤣🤣🤣🤣Lishangazi lenyewe si ndio wewe hapo sasa mkubalie tu🤣
Yeye anakufaa kabisa mkuu😂