MjukuWaBabu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 456
- 721
- Thread starter
- #81
Relax man... Ukizingatia nachoandika Mimi ,utapotea sana.Mwanamke ana miaka 25 inaelekea 26 umamwita mtoto
Relax man... Ukizingatia nachoandika Mimi ,utapotea sana.Mwanamke ana miaka 25 inaelekea 26 umamwita mtoto
Nimeyashika wapi mpk niyaache maisha yakoCCm mie inisaidie nini... Wewe ikabiri pekeako, tusichaguliane namna ya kuishi na kipi Cha kufanya...
Achana na maisha yangu.
Wala simuamini, mi naijua yangu iko vizuri, labda yeye anaendaga kuokota mishangazi ya kibiashara, inatumika na yeyote.
nimeishiwa pawa kwako...
Mishangazi mingi ina gubu halafu hakuna yasichokijuaKweli hayanaga fomula.. wengine wananasa Kwa vitoto wengine mnakomaa na mishangazi!!!🤭😁