Kama two months hivi ago, nikanasa penzini kwa mtoto wa 2000

Kama two months hivi ago, nikanasa penzini kwa mtoto wa 2000

Kitoto cha 2000,,, wewe kidume cha ....? isije ikawa vya 2000 vilikutana na kusimulia huku tuone mtu mzma afaidi penzi na kitoto cha 2000

Kitoto cha 2000,,, wewe kidume cha ....? isije ikawa vya 2000 vilikutana na kusimulia huku tuone kama mtu mzma afaidi penzi na kitoto cha 2000
Wew... Uamini au usiamni shauri yako... Mie kibabu kabisa 40s now
 
Kitoto cha 2000,,, wewe kidume cha ....? isije ikawa vya 2000 vilikutana na kusimulia huku tuone kama mtu mzma afaidi penzi na kitoto cha 2000
Mtu aliyezaliwa 2000 si mtoto naomba tuelewe tafsiri ya mtoto na tusiharibu tafsiri iliyopo kwenye katiba yetu na sera zingine za maendeleo
 
Back
Top Bottom