Kama two months hivi ago, nikanasa penzini kwa mtoto wa 2000

Umefanikiwa kukigeuza?
 
Kitoto cha 2000,,, wewe kidume cha ....? isije ikawa vya 2000 vilikutana na kusimulia huku tuone kama mtu mzma afaidi penzi na kitoto cha 2000
 
Wala simuamini, mi naijua yangu iko vizuri, labda yeye anaendaga kuokota mishangazi ya kibiashara, inatumika na yeyote.
Waooooh... Embu tunene jambo... Maana umeyaamsha majini ya mahaba hapa... 😋😋😋😋Yako iyooo tufanye namna aisee... Unilee na mie nikuleee Aunt muzuri muzuri, Mubebe murembo.
 
Na huyu mtoa mada anaonekana anapenda vitonga😂😂
Oooh... Mie sio mpenda ganda la ndizi... I know how to love, whom to love and on top how to take care of the one I love. I'm sorry mapenzi bila kaiinglishi hayanogagi.

Nitakupenda kwa mtima wangu woteeee Aunt Murembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…