Th3the
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,327
- 1,779
Wakuu..
Najaribu kuwaza kwa sauti hapa.
Mwaka 2019 ulikuwa mwaka wa mafanikio Sana kwa chama Cha mapinduzi(CCM) katika chaguzi za serikali za mitaa.
Walishinda kwa kishindo huku wakipita bila kupingwa kwa baadhi ya mikoa.
Japokuwa wajuzi wa Mambo wanasema kuwa ule uchaguzi ulikuwa na dosari Kila Kona huku alisimia za ushindi dhidi ya vyama pinzani zikiishangaza dunia(99.9%).
Je tutarajie makubwa zaidi kwa CCM kushinda zaidi ya asilimia 99.9%?
Au je tutarajie mabadiliko(come back) kutoka kwa vyama pinzani?
NB: Tume ya uchaguzi imebadilika na kuwa tume huru ya uchaguzi.