Kwa hyo ule haukuwa uchaguzi? Mbona hatua zozote hazikuchuliwa dhidi ya yaliyotokeaMtu yeyote anayeshabikia matokeo ya 2019 namuona Kama mnafiki na mpumbavu. Kama mleta mada, anaulizia maswali ya kinafiki wakati anajua 2019 vyama vya upinzani vilijitoa baada ya wagombea wao kuenguliwa wote.
Mtu anajua wagombea wa upinzani walienguliwa wote halafu analeta maswali ya kijinga. Unamshindanishaje CCM na wapinzani waliongeuliwa?. Very stupid idiot.
Mimi naona kama tutarudi kule maana hamna mabadiliko yaliyofanyikaDah! Wee jamaa. Safari hii haturudi kule tena. Kiukweli ilikuwa mbaya zaidi ya kawaida.
Safari hii Mama hana mpango kama ule. Nawahamasisha Wananchi wajiandikishe kwa wingi watapata nafasi ya kuchagua kiongozi wao. Ile kitu namuomba Mungu wangu daily, muda wote, tusirudi kule.
Twende kujiandikisha ili tupate nafasi ya kuchagua kiongozi. Tena mimi majirani zangu wamepanga kugombea, nami nitawàchagua kwa kura yangu.
Yule kichaa ndio aliiharibu Tz!Mtu yeyote anayeshabikia matokeo ya 2019 namuona Kama mnafiki na mpumbavu. Kama mleta mada, anaulizia maswali ya kinafiki wakati anajua 2019 vyama vya upinzani vilijitoa baada ya wagombea wao kuenguliwa wote.
Mtu anajua wagombea wa upinzani walienguliwa wote halafu analeta maswali ya kijinga. Unamshindanishaje CCM na wapinzani waliongeuliwa?. Very stupid idiot.